Tuki sema mahakama yame baki majengo tuu, Nape ana aagiza watu watafutwe.
Hivi kezi ya aina hii ni ya kufuta? Hata mie mbumbumbu wa sheri nassma hapana!!
 
Naunga mkono hoja
 
Siku watu wakichoka tutaishi kama Colombia huko,kwa hili bc hatuna haja ya kuwa na mahakama kama ipo kwa ajili ya watu fulani!
 
Mungu ni mnene,,,uonevu wao ni wa mda tu ndo maana tunawachukulia kama watoto vile,,,kushindwa kutenda haki ni upumbavu na siyo ujinga hata. Mda mwingine muelewe ya kuwa tupo duniani kwa muda na hatujui kesho yetu. Huku ndo kulewa madaraka.
Walikuwepo madikteta na magaidi kama akina Iddi Amin,Hitler,Osama Sadam Husein lakini waliishia kufa vifo vya aibu. Kilio cha maskini adhabu yake ni kubwa mno siku zote,,,MJIREKEBISHE KABLA MUNGU HAJANYOOSHA MKONO WAKE.
 
Wakili Peter Madeleka ameweka nakala hiyo katika ukurasa wake wa X (Twitter) na kuongeza kuwa wanaenda kukata Rufaa.

Nchi Ngumu Sana, Alie pigwa ananyimwa haki sababu DPP tu Kwa kutojisikia kuendeleza na case,kweli Katiba mpya muhimu DPP angebaki na Case za Government tu,mambo ya watu binfsi yabaki mikononi mwao wenyewe na Police/ Mahakama mtu unanyimwa haki eti DPP hana Nia yakuendelea na case πŸ™„
 
Hongeni na Mungu basi kama nmaweza,saivi anawazoom tu na kuwapa mda wa kutubu,,,siku akinyoosha mkono wake wa hukumu, mbona kitachimbika?
 
ngonjera, mbwembwe na maigizo ya huruma ya wanasiasa wasaka tonge kwa mgongo wa wanyonge ndio yameishia apa....
 
zile scripts za move za imotions za akina director mmm zimeishia apa sio...
 
Wasomi wa Sheria tusaidieni hapa. Ikiwa DPP hataki kuendelea na kesi, haki ya mlalamikaji inakuwa wapi? Au afungue kesi ya madai ambayo haimuhusishi DPP..?
Wakati Mwingine ni kufungua madai,tu,Yani Katiba mpya muhimu DPP angebaki na Case za Government, mambo ya watu binfsi yabaki Mahakama iamue,Yani mtu anakosa haki sababu DPP tu hana Nia yakuendelea na case.
 
GEKUL ni Kama Mzee Mpili wa YANGA " ANA WATU"
 
CHADEMA ni wapumbavu sana na wana visasi vya kijinga. Walianza kwa Sabaya wakapotezwa, mara eti kwa Covid 19 na huko wamepotezwa na Sasa kwa Gekul..... Hicho chama ni Cha wahuni tu
Mungu akubariki mtoto wako awafanyiwe vile........
 
Hii nchi ni ngumu sana.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kumbe na wewe huwa unalalamika !
 
DPP Amemsafisha Pauline Gekul Kwa Foma Limao
Sasa Hivi Ametakata Mno, Ila CCM Ndiyo Ilivyo Hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…