Jambo unakubali kuwa lazima uwe na cheo cha luteni jenerali ndio unaweza kuwa cdf...Inawezakana wewe pia hujui. Yaani major general ashindwe kupewa promotion mseleleko na kufanywa CDF. Imeshawahi kutokea huko nyuma.
Jeshi letu halina tu full generals and lieutenant generals wengi kwa wakati mmoja; otherwise, hakuna military leadership skills ambazo Lieutenant General na General wanazo, lakini experienced Major General hana. Shida ni size ndogo ya jeshi letu!
Jambo unakubali kuwa lazima uwe na cheo cha luteni jenerali ndio unaweza kuwa cdf...
Hayo mambo ya mseleleko sio hoja iliyo mezani.
Infantry ndo mzizi wa jeshi,has kwenye Nchi Zetu za Afrika(third world country) . Kama kuna mtu analijua jeshi vizuri Basi ni infantry .Jeshi limeongozwa na Infantry saana its time kwa Airforce, japo Mboma alishawahi kupitia 601KJ ila ni infantry tu. Kama Mwamunyange aivyotokea JKT. Its time for Airforce, Navy watulie kwanza
Ni sawa na Mwalimu wa kawaida was shule ya msingi kupewa ualimu Mkuu shule ya sekondari.Humu watu hata protokali za jeshi hawazijui
Yani mtu ni brigedier general au major general awe cdf halafu aachwe lieutenant general?
Enzi za mwendazake ofcourse ingewezekana hata segeant kuwa cdf
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Akili za fesibukuVipi akipewa Luteni Urio,ni mbunifu na mzalendo wa kiwango cha hali ya juu sana.
Hata Mabeyo aliwapita wengi tuLuteni, Meja, Brigedia (Jenerali).
Hivi anaweza kuteuliwa mtu ambaye sio rank ya Luteni Jenerali direct akawapita walio juu yake?
Watu wanawachambua Malaika wa Mungu Mbinguni sembuse Hawa Binadamu wenzetuMnawachambua wajeda mtadhani nanyi ni sehemu yao.
Alikaa kwenye luteni jenerali kwa muda kama nakumbuka vizuri.Hata Mabeyo aliwapita wengi tu
Sasa mnataka habari za chumbani kwa wazazi. Endeleeni tu ,me nipo hapa nawaangaliakwani kwa sasa tuna ma Ltn General wangapi na major Grn wangapi?
N mkingule au mkuu wa intelligence jeshini
Mbona hakuna komandoo CDF?
Jamaa anakubalika na wananchi kila alikopita anzia akiwa mkuu wa wilaya buhigwe kigoma, akaenda kua RC kagera na sasa mtwara jamaa anapiga kazi sana na hana majivuno sema rank yake labda itakua mbali maana ma meja general mbele yake wako kibao lakini jamaa ni kiongozi mzuri
Unataka ukubaliane na wananchi JF Mambo ya wanajeshi, Mkuu unamaanisha kweli UNACHO KISEMA..??Kwa hiyo tunakubaliana kuwa sharti ufikie cheo cha luteni jenerali ndio unaweza kuwa cdf..
ukubalianna wananchi natakaka ukub