Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Inawezakana wewe pia hujui. Yaani major general ashindwe kupewa promotion mseleleko na kufanywa CDF. Imeshawahi kutokea huko nyuma.

Jeshi letu halina tu full generals and lieutenant generals wengi kwa wakati mmoja; otherwise, hakuna military leadership skills ambazo Lieutenant General na General wanazo, lakini experienced Major General hana. Shida ni size ndogo ya jeshi letu!
Jambo unakubali kuwa lazima uwe na cheo cha luteni jenerali ndio unaweza kuwa cdf...
Hayo mambo ya mseleleko sio hoja iliyo mezani.
 
Ila gaguti alionewa kupelekwa kuwa RC, na CDF ajaye ni MUISLAM weka bold hayo maneno tena toka VISIWANI ..........ila hizi ndoto jamani 😂😂😂😂
 
Jeshi limeongozwa na Infantry saana its time kwa Airforce, japo Mboma alishawahi kupitia 601KJ ila ni infantry tu. Kama Mwamunyange aivyotokea JKT. Its time for Airforce, Navy watulie kwanza
Infantry ndo mzizi wa jeshi,has kwenye Nchi Zetu za Afrika(third world country) . Kama kuna mtu analijua jeshi vizuri Basi ni infantry .
So sio mbaya kijiti kikiendelea kuwa kilipo kuwa kumbuka jeshini hatubalance kamandi.
Jeshi sio chama Cha upatu kikae kuridhisha watu na kutengeneza unnecessary balance ili kufarahisha genge.
Nilikuwa napita tu🚶🚶🚶🚶.
 
Humu watu hata protokali za jeshi hawazijui
Yani mtu ni brigedier general au major general awe cdf halafu aachwe lieutenant general?
Enzi za mwendazake ofcourse ingewezekana hata segeant kuwa cdf
Ni sawa na Mwalimu wa kawaida was shule ya msingi kupewa ualimu Mkuu shule ya sekondari.
It's total shame kwa atakao wakuta Huko ofisini
 
Kumbe huyu mzee amekuwa na cheo kikubwa hivi, Brigedia Jenerali J.J. Mwaseba...mara ya mwisho kumuona alikuwa ni Major hapo Lugalo
 
Makomando ni watu wa Kazi. Hawapewi vyeo vikubwa(generals+) maana itapunguza uwajibika Frontline. Hatutaki komandoo wa ofisini kwenye AC komandoo Ni Frontline tools.
So ni Kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano komando kuwa CDF.
Labda iwe vinginevyo.
Mbona hakuna komandoo CDF?
 
Kama anakubalika na wananchi basi apewe urais maana hiyo ndo zawadi ya wananchi kwa mtu wanae mkubali. Jeshini anatakiwa mtu anaekubalika na wanajeshi na ambae hata wananchi wanaweza kuwa hawajui maana sio Muhimu kwao Wala kwake. Kuishi tu kwa Amani na usalama bila kuvamiwa na Al shabaab au IS Ni zawadi tosha kwao kutika kwa makamanda wa JWT.

Jamaa anakubalika na wananchi kila alikopita anzia akiwa mkuu wa wilaya buhigwe kigoma, akaenda kua RC kagera na sasa mtwara jamaa anapiga kazi sana na hana majivuno sema rank yake labda itakua mbali maana ma meja general mbele yake wako kibao lakini jamaa ni kiongozi mzuri
 
Napendekeza safari hi nafsi hyo ishikiliwe au apewe mtu kutoka kaskazini Kama awali ilivyokuwa kwa generali mrisho sarakikya kwani watu wa kaskazini Ni wachapakazi na Ni wazalendo mama naomba usikozee ktk Hilo u will thanks me later
Ova
 
Kuondoka Kwa CDF ni rasmi SukumaGang imefutwa kwenye USO wa Tanzania 🤔
 
Land Force General...... airforce general or General Makanzo or Mkingule
 
Back
Top Bottom