nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,602
- 20,181
Jambo unakubali kuwa lazima uwe na cheo cha luteni jenerali ndio unaweza kuwa cdf...Inawezakana wewe pia hujui. Yaani major general ashindwe kupewa promotion mseleleko na kufanywa CDF. Imeshawahi kutokea huko nyuma.
Jeshi letu halina tu full generals and lieutenant generals wengi kwa wakati mmoja; otherwise, hakuna military leadership skills ambazo Lieutenant General na General wanazo, lakini experienced Major General hana. Shida ni size ndogo ya jeshi letu!
Hayo mambo ya mseleleko sio hoja iliyo mezani.