Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

Mnafiki sana mtu huyu, alikuwa wapi kuzuia lugha hiyo isitumike miaka yote tangu tunapata uhuru; hata baba yake mwenyewe alikuwa akisema kuwa tupinge tabia za mabeberu kuonea wanyonge. Maneno ya Mabeberu na Wanyonge ni maneno tumekuwa nayo tangu wakati wa uhuru, halafu leo yanaonekana kama vile ni ya jana tu.

Wakati wa Magufuli kauli hiyo haikuwa inawalenga hao wenye uwezo, bali inawalenga wale ambao kweli ni wanyonge na wanyanyaswa wazi wazi. Kama nchi alikuwa anawambia watanzania kuwa "sisi siyo maskini".

Hii tabia ya mawaziri hao kwenye kutoa "taarifa ya mafanikio ya rais kwa mwaka mmoja" ni kama hii hapa:

 
Kama kura ya wengi haiwezi kuamua kiongozi ni nani bado tutakuwa wanyonge tu.
Kamwe usije niita mnyonge, jiite wawe na familia yako au na wale wenye imani kama yako. So jiwe alipokuwa anawaita kuwa nyie ni wanyonge alikuwa anamaanisha nyie ni wanyonge kwa sababu za uchaguzi wa 2020 ambao hata wew wajua alichofanya?
 
Kamwe usije niita mnyonge, jiite wawe na familia yako au na wale wenye imani kama yako. So jiwe alipokuwa anawaita kuwa nyie ni wanyonge alikuwa anamaanisha nyie ni wanyonge kwa sababu za uchaguzi wa 2020 ambao hata wew wajua alichofanya?
Probably wewe hukuwemo kwenye hiyo list ya wanyonge ya jiwe. Siyo wote ni wanyonge, na alipokuwa akisema anawetetea wanyonge hakuwa ana include watu kama akina Azam, MODewji au wewe. Chuki dhidi ya Magufuli hazina faida yoyote sasa kwani zinaweza kusababisha mtu afanye maamuzi mabaya ili tu kuyafanya yawe ni tofauti na ya Magufuli.
 
Iko wapi ile video akifuta jasho kwa kitambaa huku akienda kuomba msamaha kwa Magufuli.
 
Mbona hii timu Msoga wanateseka Sana.?Ahaa hakika JPM aliwapiga mapigo matakatifu. Na wanaumia bado .Mpaka muda huu wanaweweseka tu.Umepewa cheo kwa upendeleo,lakin hauna uhakika na hicho cheo,unaweweseka tu.Mstafu Kikwete ,nae anaweweseka tu.Akipata nafasi ya kuzungumza mbele ya watu wengi.Aongelei kilichokupeleka pale,ni kuweweseka tu.Oh !!Mm wazir wangu alikunywa kikombe cha babu.Utumbo mtupu.
 
Aendelee tu kusagia kunguni legasy, 2025 ndo atajua Magufuli (RIP) alikuwa rais wa wanyonge au la. Wanyonge wapo kimya lakini wana yao moyoni.
 
dunia kinyume nyume sana. Huyu anasema sisi wanyonge lakini anapambana tujitegemee. Huyu anasema tuache unyonge lakini anakazana kuomba misaada na kukopa. dunia uwanja wa fujo.
 
Kwahiyo na yeye anatulipizia sisi? Maana kweli hatuwezi hizo bei zao...Kuna kumnyanyasa mtu kwa upole na kwa ukali vyote mi unyanyasaji!
 
Acha ujinga, hata Marekani ambao sometimes wanatupa misaada hao watu wapo. Ni maamuzi au kuwa chosen. So wataka Tz ya wote mna kipato sawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe utakuwa masikini /Mnyonge
Ombea sana hiyo kitu ila kwa tarifa yako Mimi si maskini
 
Nape naona bado hajaamini kama JPM amekufa angekuwa na imani hiyo angekuwa ameshamfumta kwenye akili yake na kumsamehe kabisa.nikimfatilia kwenye press zake lazima amkejeli JPM either direct au kimafumbo.nimkumbushe tu Nape kuwa JPM kalala hakusikii kwa lolote ila kaacha mke,watoto na ndugu zake ndio wanaoumia sanaa na kauli zake.Embu mshukuru Mungu kwa baraka alizokujalia na kutumikia watu utafika mbali.
 
Mbona hatari maskin akjfanya tajiri anabaki kuw maskin,mnyonge akjfanya ana uwez atabak kuw mnyonge maan hatopat alchostahil kukpat mnyonge na zaid atapew doz ya mwenye nguvu matokeo yake n overdosage na ktoweka kabisa mbele ya nyuso za wenye nguvu
 
Kama siwezi kupata haki zangu kutokana na ambao wako kwenye system kuwa na nguvu neno unyonge litaendelea kuwepo
Nyie ndio mnaolala na njaa na kuisingizia serikali kwa mtindo huu muendelee tu kujiita wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…