Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Magufuli aliipandisha Shilingi dhidi ya Dola? Unajua aliikuta Dola ni ngapi na aliiacha ngapi?
 

Malalamiko dhidi ya VAR ni katika kuboresha, lakini kwa kiwango kikubwa yameboresha uhalali wa matokeo.

Nashindwa kuelewa hoja yako ndio maana nakuambia subiri watoto wenzio wa VETA mjadili. Maana mara ruzuku, sijui mlizikataa, mnataka upendeleo. Jitahidi unapojenga hoja yako usichanganye mambo mengi kwa wakati mmoja ili hoja yako ifahamike. Mijadala ya hivi ni ya watoto wa vijiweni.
 
Hicho na nachowaza, fedha ziliporwa Wala sio kwamba walizihesabi wakakabidhiana

Sasa zinarudishwa sijui kwa mfumo upi, hapo lazima Kuna watu wanafaidika
Nchi hii hakuna kitu mkuu. Wewe ukipata kanafasi ibaaaa, kwepa kodi, takatisha fedha, tajirika na mwishowe kufa! [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cha kushangaza sio hao watu kufutwa machozi bali ni ule ukweli kwamba huyu rais wa sasa alikuwa ni sehemu ya huo uovu na wala hakupinga wakati huo sasa leo anayafanya haya kama njia ya kujitafutia umaarufu wa kisiasa baada ya kushindwa kupambana na uchumi unaozidi kuporomoka kila uchao. Bure kabisa.
 
Angemfanyaje? Rais ndie tha last word!! Kulingana na katiba
 
Sipati picha lile nduli lingekuwa hai hadi Leo, nchi hii ingekuwaje? Asante Mungu kwa kusikia kilio cha watu wako
 
Kama chadema wangelikuwa na watu wenye Akili kidogo,huu ndo ulikuwa muda wao wa kuingia ikilu na kuandika Historia....Yaani mistake wanazozifanya Ccm kwa kipindi hiki ilikuwa ni njia Tosha sana ya Chadema kufunga magori Mengi dhidi ya Ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…