Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

Mrudishe kwao mkuu

Atakuja kukuzuru au kuzuru watoto au kujizuru ndo akili ikukae
 
Pole mkuu! Mpeleke kwa mtaalamu anaweza akamsaidia, achana na matapeli hao wakujiita makanisa sijui ya kiroho,
Kuna jirani yangu mwanae pia alikuwa kama anaweuka,kapigwa sana pesa kwenye makanisa ya kiroho sijui ya nn, mwisho akahamua kwenda kwao kwenye mizimu ya kwao na mtoto akapona flesh kabisa!
 
Mpaka akutoe roho ndio utatanabai mkuu! Mtafutie tiba mbadala na huko hospital pia
 
Kwanini unasema anataka talaka? Jambo ambalo hujui wanawake wengi lack emotional intelligence wanashindwa kutofoutisha wanacho fikiria na realities, madhara yake ni kucharge na kuropoka maneno yote, ukianza kuifanyia kazi wewe ndo utakua kichaa.
 
Hi mentality vijana mmeijenga ndio inawaharibia maisha. Unadhani hata sasa nikitaka kuwa na mchepuko siwezi? Mimi hata angekua amenizidi umri kwangu isingekuwa tatizo.
Ni kweli kulingana na malengo yako ya ndoa, kuna wengine wanataka wanawake wa zee ili wawalee, wengine wapewe ushauri wengine waachiwe urithi nk. Sijui wewe uli lenga nini?
 
Hi mentality vijana mmeijenga ndio inawaharibia maisha. Unadhani hata sasa nikitaka kuwa na mchepuko siwezi? Mimi hata angekua amenizidi umri kwangu isingekuwa tatizo.
Mimi nakuelewa vizuri mkuu uko kwenye njia sahihi.
Kama unahitaji utulivu wa nafsi na hupendi kupoteza muda mwingi kwenye drama za mapenzi oa mtu mzima.
Lakini kama una muda mwingi wa kupoteza kwenye drama za mapenzi yaani maisha yako ya kila siku uwe unawaza mbinu mpya za kuboresha mapenzi ili usiachwe na wife basi oa wasichana wadogo.
 
Those who are looking for "who" is doing them rather than "why" things are happening to them or "what" went wrong will always rely on superstitious beliefs.
 
Choosing a good mother for your kids is more important than choosing a beautiful wife for yourself...

Please say it again !!!

Anasema God bless lema kada wa chadema katika tweet yake leo.
 
Wewe naona unataka kua wakala wa masingo maza ndo wenye uzoefu wa ndoa hao ex soldier wa wapigania uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…