mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Sio wote ni masingle mother wapo pia waliojitunza vizuri hata kwenye umri mkubwaWewe naona unataka kua wakala wa masingo maza ndo wenye uzoefu wa ndoa hao ex soldier wa wapigania uhuru
Hata akiwa na mwanaume mwenye balance ya akaunti inasoma 320,889,700/- Tsh?Hii hali unaweza kusema imewapata wanawake wengi yaani kwa sasa idadi ya wanawake wanaopoteza utulivu wa akili ni kubwa Sana.
Wakati mwingine sio yeye ni mapepo ndio yanamfanya kuwa hivyo,muombee au mpeleke kwenye maombi,usipoangalia iko siku mtakuja kupata ajali...Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Awe na miaka 40 hana mtoto na ajawahi kuolewa na sio tasa na haumwi, naomba connection mkuu na mimi namhitaji huyu wa dezaini hiyoS
Sio wote ni masingle mother wapo pia waliojitunza vizuri hata kwenye umri mkubwa
Tafuta mkuu mbona wapoAwe na miaka 40 hana mtoto na ajawahi kuolewa na sio tasa na haumwi, naomba connection mkuu na mimi namhitaji huyu wa dezaini hiyo
Mkuu wapi? hapa dar wako wapi ili niende kesho jioni nipata hata moja nifunge ndoa chap chap.Tafuta mkuu mbona wapo
We atleast unatujua wanawake....Dawa ya Motto ni Motoo...akiamzosha zogo anzisha timbwli popote pale. Ataacha
Umepita mle mle...akae vizuri na mkewe..atajua tu..tunakuaga na majini haswaa tukiamua..mi mwenyewe nampango wa kufanyatukio..ndoa imepoooaaa🤭Hiyo kufiwa na mtoto inatuumiza sana wanawake na hasa ikitokea akamkumbuka mtoto au kuona mtoto wa rika lake, pengine akiona umefanya kitu kiubinadamu anakuona km wewe ndo umechangia shida zake,, anapata mvurugiko, anakumwagia hasira zake,
japo mood swing ni jambo ambalo hutokea kwa wanawake wengi, mfano period, mimba, menopause na ovulation kidoogo, pia tusiporidhika katika tendo la ndoa hutuletea kisirani
Huyo hawezi changanykiwa mkuu🤭😆Hata akiwa na mwanaume mwenye balance ya akaunti inasoma 320,889,700/- Tsh?
Changanyikiwa hapo uone ...[emoji23][emoji23]Huyo hawezi changanykiwa mkuu[emoji2960][emoji38]
Una uhakika hajajiunga na kakikundi ka kilokole?Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
Wewe ni wa dini gani ni muislamu au mkristo?Mkuu wapi? hapa dar wako wapi ili niende kesho jioni nipata hata moja nifunge ndoa chap chap.
Eeh na inasemekana mwanamke asipokuwa na hizo drama za kushtukiza maana yake hampendi mwanaume wakeUmepita mle mle...akae vizuri na mkewe..atajua tu..tunakuaga na majini haswaa tukiamua..mi mwenyewe nampango wa kufanyatukio..ndoa imepoooaaa🤭
Tunachanganyikiwaga kwa wale wakusema kuna dili nafatilia likitiki sikosi kiasi kadhaa☺️Changanyikiwa hapo uone ...[emoji23][emoji23]
Yale Yale ya Mheshimiwa Nwanri..anasema jifanye kama unajikuna...
Uwe unapotea kwa muda ili akukumbuke!Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki.
Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni mchawi,yaani yeye ni mtu wa kulalamika tu, tuachane nimpe taraka na mambo chungu nzima
Anaweza anzisha zogo sehemu yoyote ile iwe kwenye gari sokoni au sehemu yoyote ile
Kwa kweli inahitaji moyo ukitegemea wakati namuowa alikuwa vizuri tu
We Jamaa naku tafuta!Sahihi..nilichojifunza kwasasa kwenye maisha, kwenye jambo lolote lile ili upate suluhisho , FIRST, RECOGNIZE AND ADMIT THE PROBLEM. Kubali kuwa hili ni tatizo kisha tafuta mahala sahihi.
Dont denny kwamba huyu mtu saa hii anahitaji kuwa mirembe
Nime ona broNimekuchek