Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

HIVI NI WEWE TumainiEL tunayekujua humu mwenye hoja na chambuzi makini au ni mtu mwingine katumia usernameyako humu.

Yaani kinachotarajiwa kufanywa na Israel tayari dunia nzima inakijua halafu wewe unasema umetabiri. Haahaaahaaahaaa. Unakuwa kama wale watabiri wanaona kuna kiongozi anaumwa sana na uwezekano wa kupona ni mdogo halafu anase anatabiri mwaka huu kuna kiongozi mkubwa ataondoka.

Au kipindi cha uchaguzi anatabiri kuwa CCM itashindi,au unaona dalili zote za kunyesha mvua halafu unajitokeza unasema unatabiri. Yaani dunia nzima inajuwa kuwa kuna uwezekano wa asilimia 99 Israel kuishambulia Iran.

Na hizi kauli za kusema "NINATABIRI" ndizo zinazotumiwa sana na hawa wahubiri fake kina MASHIMO NA WENZAKE KUPIGA HELA ZA WAJINGA

Wewe toa utabiri wa nani atakuwa rais wa Tz baada ya Mama Samia. Au toa utabiri lini tetemeko la ardhi litatokea. Sio unaona gari la mwendokasi linaelekea Ubungo halafu unasema unatabiri litafika Kariakoo
 
Netanyhulu alisema kwamba Saddam akiondoka ndio itakuwa ushindi mkubwa sana na kuishi kwa vita ...Ila baadae ndio anapata ukinzani mkubwa zaidi.

Lazima ujue watu wana mawazo tofauti kabisa hata uwe na nguvu , utawamaliza ila wataibuka wengine.
 
Tofautisha inchi iliyohalalisha Ushoga kama Israeli na wananchi wake mashoga walivyoupokea na inchi zinazopingaa ushogo kama Tanzania na wananchi wake wanaofanya ushoga kwa kificho
Kumbuka huko Israeli ushoga ruksa na upo kila sehemu na kupanga ni ruksa
 
Ni kweli.
 
Uharo mtupu
 
Ni Mungu yupi anayefurahia viumbe vyake viuane bila sababu za msingi?
Kataa akili mgando!!
Kweli Akili mgando huwa zinamsingizia Mungu mambo mengi !
Akili mgando nyingine zinaamini Eti kwenye Siasa Mungu hayupo hata wakiuwana huko au wakiwafanyia ukatili wowote Wapinzani wao Mungu haimuhusu hiyo kitu 😂😂

Kweli Akili mgando zipo nyingi Nchini 😳🤦🏽‍♂️ !
 
Yeye kaambiwa aoe mke mmoja na wasitengane mpaka kifo pia kuzini nje sio tabu ila usioe
Unaona jinsi mafundisho yenu yalivyo jaa fallacies anaye waambia muoe mke mmoja yeye mwenyewe haoi , tena ana sisitiza hakuna kuachana hadi kufa , pia anasema usi zini ilhali haweki msisitizo na makemeo dhahiri , kazi roho mbaya uzembe tu, acha tuoe wa nne na peponi wapo wa kutosha sijui 72 ni wachache sna wapo wa kumtosha kila atakaye ingia jannah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…