Nauli hizi za SGR nani atapanda? Kutoka Dar - Moro Tsh 24,000?

Una uhakika na ulichokiandika? Do simple research pls. Usafiri wa train ndio very chip duniani na ndio unapendwa na wengi. Usijaribu kutudanganya. Mradi wenyewe tulipigwa, haikutakiwa kujengwa kwa trillioni saba na ushee. Kwenye vichwa napo tumeletewa vibelenge (huyu anasema vibelenge vipya yule anasema vibelenge vilivyofufuliwa (used) tena kwa kusisitiza kwamba lazima aseme ukweli). Tumwamini nani kwenye hizi kauli kinzani?? Aya forget about that, kwenye nauli wanapendekeza hizi nauli za kimchongo ili magari yao yaendelee kutembelea barabarani. Are these people really serious? Hope hawa wanaishi ile Tanzania ya uchumi wa kati.
 
Ujue ATC inajaza pamoja na bei zao kuwa kubwa?
Alternative ni zipi ? kwa utofauti upi ? na kubwa kulingana na nini ? Like for like kama ilivyokuwa kipindi na Fast Jet?

Na inajaza kila siku una uhakika kina freight inajaa ?, Pia inaweza kujaza kwenda Dar je kwenda Kigoma au huko hawaitaji Ndege ?

Pili watu wakiwa wengi ATC haiwezi ikaongeza trailer..., ila train inweza ikaongeza behewa..., and the more the behewa's the cheaper the running costs...

Hio ni Biashara 101 according to bibi yangu muuza nyanya...., Pile it High, Sell it Cheap....
 
Haiwezekani wajinga kama wewe wakosekane katika jamii!
 
Si bora nilipie 45 nipande shabiby luxury.
 
Usiangalie running costs tu. What about investment cost? Analipa nani huo mkopo?
Hilo behewa ni kiasi gani? Reli imejengwa kw gharama gani. Tafuta mji wowote mfano London kwenda Manchester kwa basi na treni, then tuongee. Taarifa zipo kwenye mtandao
Yaani unalinganisha mapato ya Mwingereza na Mtanzania kweli?
 
Lete Takwimu za kiduni

Usafiri wa treni sio cheap duniani. Unapendwa kwa sababu ya haraka na convenience nyingine. Uwekezaji wake ni mkubwa
 
Hizo bei ziko juu sana kwa Mwananchi wa hali ya chini.
Sasa si upande ndege mkuu,

Sio kila kitu kimewekwa kwa ajili ya wote hata mbinguni kuna madaraja.....

Wa hali ya chini tutapanda TAZARA,DELUXE, na wa hali ya juu watapanda SGR,......
mbona ndege sisi wa hali ya chini hatupandi !!!!!na hatujawahi kulalamikia nauli?na unajua kwanini hatulalamiki....
 
Tuletee ushahidi kuwa ni cheap
 
Mwendokasi dunia nzima hubeba watu wengi...
Rush hours dunia nzima pt husumbua
Hizo rush hours, huku ni critical. Na almost throughout the day. Hakuna AC. Muda wa kufika haueleweki. Ukifika uendako, nguo zimejikunja na unanuka jasho. Hii sio kawaida. Tusizoee shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…