Endelea kulelewa tu huko. Mashoga Magu aliwashughulikia kweli kweli mtamkumbuka mpaka muingie makaburini kwenu!But you are in shithole! It doesn't matter!
Shukrani kwa appreciation mkuuπππNaam, ni hoja lyoshiba
Kupitia uongozi wake ndio hili suala la connection lilichipukia sana ukiwa na connection tu kazi uhakika hata kama hauna sifa ndio maana kukawa na issue ya vyeti feki na wafanyakazi hewa.Kupata jibu hilo, umefanya very poor analysis kwa kitumia false premises na kupata wrong conclusion.
1.Wakati wake mawaziri ,Msabaha, Katibu Maswi Eliakimu, Lowasa, walianguka Toka madarakani kwa scandal mbalimbali.
JK angekuwa wa hovyo angewalinda, lakini aliridhia kujiuzuru Kwao.
2.Report za CAG kuhusu matumizi na wizi serikalini zilijadiliwa kwa uwazi bungeni,
Magufuli hakutaka,na alimfukuza kazi Prof Assad CAG kwa kuweka wazi madudu ya Serikali.
Leo pia Mama Abdul anaogopa , speaker anaogopa, hawataki report za CAG zisomwe na kujadiliwa kwa uwazi bungeni.
3.Wabunge wa CCM walitenguliwa na Mahakama baada ya wapinzani kukata rufaa Mahakamani, hakuwahi kuingilia uhuru wa Mahakama hata siku moja.
4.Uwanja wa siasa kulikuwa na mazingira rafiki ya kufanya Siasa, alikaa na wapinzani IKULU wakaongea , kwa maslahi ya taifa, wakanywa na na Sharubati. wakacheka, wapeana 5, Waka shake hand na nchi ilikua inapumua.
Sio sasa Mama Abdul na UONGO wa 4 R magumashi zake.hamna kitu.
5.Mtandao wa barabara za Rami kuunganisha mikoa nchi nzima, ni yeye,SGR ,Interchange zilikuwa on paper wakati wake.bMagufuli akaja kujenga.
6.Ajira kila mwaka aliajiri wahitimu wengi wa vyuo vikuu, madaktari ,walimu kwa uchache kuwataja waliajiriwa.
Aliongeza mishahara kila mwaka Leo ni taabu tupu.
7.Vyombo vya habari vilifanya kazi kiasi kikubwa wakiwa huru, likiwemo gazeti la mwanahalisi ambalo lilimwita VASCO DA GAMA kwa ajili ya kusafiri.
Kwangu mimi na kwa wanaoelewa ,Kikwete was the best President ever, and will remain best President of our time.
Alikuwa na weakness ndogondogo za kibinadamu, ambazo Mamako, Babako, watoto wako na mke wako na wewe mwenyewe kama binadamu unazo.
Issue ya kutekwa ulimboka kwangu ni sawa kwa maslahi ya Taifa,mgomo ulikuwa mbaya uliua ndugu zetu hospitalini hasa Muhimbili.
Karibu UORODHESHE MABAYA YA JK angalau manne hivi.
Na kama ni kwa sababu ya chuki utueleze chuki yako inatokana na nini hasa.
ππ
Hayo nishayaeleza nilipojibu, hakuna jambo jipya bhapo kiongozi!!!Kupitia uongozi wake ndio hili suala la connection lilichipukia sana ukiwa na connection tu kazi uhakika hata kama hauna sifa ndio maana kukawa na issue ya vyeti feki na wafanyakazi hewa.
Kupitia kipindi chake ufisadi ulikuwa mkubwa watu walipiga sana pesa mfano Escow, Meremeta, maliasili kusafirishwa kupelekwa nje kama twiga n.k ilikuwa haipiti wiki bila kusikia ufisadi mpya na watu wanapeta na hata zile kauli unajua mimi nani zilikuwa nyingi mno.
Miradi hewa na Miradi inayotakiwa imalizike kwa wakati ilikuwa inachukuwa muda mrefu ni kwasababu Jk hakuwa mfuatiliaji na msimamizi mzuri wa resources.
Ukosefu wa haki ilikuwa ni ngumu maskini kushinda kesi against alienacho kwasababu system nzima ilikuwa corrupted.
Migomo mingi ilitokea kipindi chake referred madaktari, waalimu, wanafunzi wa ngazi ya juu kukosa mikopo na wakati mwingine kutopata kwa wakati.
Mishahara ya wafanyakazi kucheleweshwa, uwajibikaji duni kwenye vitengo vya utoaji huduma kwa raia
Dhulma ita watafuna mmoja mmoja, ni muda tuKipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Uhuru mkubwa kwenye vyombo vya habari
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini vitu kama rpoti za cag na skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuzima mic, kufukuza wabuaji kama ilivyo kwa sasa kina Mpina au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari navyo vilileta chachu ya kufukua zaidi na kutufungua macho.
Tulitegemea kiongozi ajae atadumisha utamaduni huu na kurekebisha mapungufu ya awamu ya Kikwete lakini kilichotokea ni opposite,
Then came a man known as Magufuli, Ni kweli kuna mapungufu ya awamu ya Kikwete aliyapunguza mfano kupunguza ajira za connection (Licha ya kwamba awamu yake ajira zilipungua) lakini alivuruga kabisa utamaduni tuliotegemea wa kuendeleza uwanja huru wa siasa, uhuru wa maoni, n.k.
Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL", hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, kimbunga cha watu wasiojulikana, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato kulijengwa vitu vilvyoacha maswali mengi, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
Hapana. Mtu aliyekuwa na maono kuliko marais wote ni Nyerere.
I also miss JK, he is truly a democratic man...Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Uhuru mkubwa kwenye vyombo vya habari
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini vitu kama rpoti za cag na skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuzima mic, kufukuza wabuaji kama ilivyo kwa sasa kina Mpina au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari navyo vilileta chachu ya kufukua zaidi na kutufungua macho.
Tulitegemea kiongozi ajae atadumisha utamaduni huu na kurekebisha mapungufu ya awamu ya Kikwete lakini kilichotokea ni opposite,
Then came a man known as Magufuli, Ni kweli kuna mapungufu ya awamu ya Kikwete aliyapunguza mfano kupunguza ajira za connection (Licha ya kwamba awamu yake ajira zilipungua) lakini alivuruga kabisa utamaduni tuliotegemea wa kuendeleza uwanja huru wa siasa, uhuru wa maoni, n.k.
Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL", hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, kimbunga cha watu wasiojulikana, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato kulijengwa vitu vilvyoacha maswali mengi, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
Kikwete kakae naye kwenu. Hatutaki tena mtu kama yeye. Mama anatoshaKipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Uhuru mkubwa kwenye vyombo vya habari
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini vitu kama rpoti za cag na skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuzima mic, kufukuza wabuaji kama ilivyo kwa sasa kina Mpina au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari navyo vilileta chachu ya kufukua zaidi na kutufungua macho.
Tulitegemea kiongozi ajae atadumisha utamaduni huu na kurekebisha mapungufu ya awamu ya Kikwete lakini kilichotokea ni opposite,
Then came a man known as Magufuli, Ni kweli kuna mapungufu ya awamu ya Kikwete aliyapunguza mfano kupunguza ajira za connection (Licha ya kwamba awamu yake ajira zilipungua) lakini alivuruga kabisa utamaduni tuliotegemea wa kuendeleza uwanja huru wa siasa, uhuru wa maoni, n.k.
Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL", hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, kimbunga cha watu wasiojulikana, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato kulijengwa vitu vilvyoacha maswali mengi, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
Kiwete nae anakufa lini?
ili tumlinganishe na JPM vizuri
Nyerere alikuwa ni kiongozi mwenye maono. Kama huko kwenu mlivaa masulupwete na viraka basi mlaumu mzazi wako. Wengine tunajua kipindi hicho watu walikuwa wanasoma bure mpaka usafiri wa wanafunzi ulikuwa bure. Chakula pia. Hospital nazo zilikuwa ni bure. Tulikuwa na viwanda na mashirika ya umma mengi. Wizi wa wabongo msipende kumtwisha Nyerere.Hapana
Miaka 30 ya kuvaa viraka na masulupwete, hana maono yoyote
Alishindwa kung'amua kuwa uchumi ndio kila kitu, akaamua kufukuza watu wenye kuwekeza
Pia hakutaka kukosolewa, ushahidi ni Kambona, Fundikira, Kassanga Tumbo, Tuntemeke Sanga, Abdul Jumbe, Seif Shariff, hawa wote aliwafinya na kuwatesa
Yeye ndio chanzo cha matatizo yote ya hii nchi!
Maji yalifika shingoni, akatema bungo na kumuachia Mwinyi alete vyama vingi, huku akiwapanga mapandikizi kama Mabere Marando, Lyatonga, Mtikila na Lipumba kuhadaa wananchi kuwa ni wapinzani
Unaona sasa kumbe wewe ni wale wapumbavu ambao kila wakizidiwa hoja wanatukana watu ni mashoga! Unafiki mtupu. Nchi imejaa mashoga kila sehemu na wewe inawezekana kabisa una mchezo wa kulawiti wanawake na bado unajifanya huna ubongo bali kinyesi!Endelea kulelewa tu huko. Mashoga Magu aliwashughulikia kweli kweli mtamkumbuka mpaka muingie makaburini kwenu!
Unastahili kuhurumiwa π€π€Viongozi wa upinzani wengi ni wababaishaji tu. Hamna watu pale.
Hakuna mtu aliyeserious atapoteza muda wake kuandamana na wanaharakati. Hizo nyakati zimeshapita.
Watu wanataka kusikia ubora wa sera na utekelezaji wake.
Hata dola sidhani kama itahangaika na wewe kama upo kwa ajili ya kuuza sera zako na sio kuibua hofu na kusambaza uongo.
Kwa bahati mbaya wapinzani hawana wanasiasa bali wana wajasiriamali tu katika siasa.
Kama wanataka kulisaidia hili Taifa wabadilike.
Naona umempa chuma, kala za USO ππUnaona sasa kumbe wewe ni wale wapumbavu ambao kila wakizidiwa hoja wanatukana watu ni mashoga! Unafiki mtupu. Nchi imejaa mashoga kila sehemu na wewe inawezekana kabisa una mchezo wa kulawiti wanawake na bado unajifanya huna ubongo bali kinyesi!
Wewe ni mjinga kabisa ,hujui unachoongea hujutambui kabisaHao walioitwa wapinzani enzi za mkwere walikuwa ni mapandikizi yake wenye njaa yao mjini...
Hapakuwa na wapinzani halisi na ndio maana alipikuja JPM aliwafunua utupu hao 'wapinzani' kwa kuwanunua na kuwapa ubunge kwa tiketi ya CCM.
JPM ni rais aliyetuthibitushia kuwa hakuna wapinzani TZ.
Wewe una shida eti alikuwa hawalindi mafisadi umeshasahau yeye mkwere si ndio alipinga hakukuwa na ufisadi kwenye ufisadi wa Escow.Nchi ikishakuwa corrupted tu hapo kuna kuwa hakuna maendeleo na ndio maana China wanasheria kali za wanaokula rushwa na ndio maana nchi yao imepiga hatua so huwezi ukasema hii ni kitu kidogo wakati inaamua hatima ya nchi achia tu mbali hii, kipindi chake mgao wa umeme ulikuwa mkubwa sambamba na shida ya maji kwa kweli huna credibility yoyote ya kumtetea mkwereHayo
Hayo nishayaeleza nilipojibu, hakuna jambo jipya bhapo kiongozi!!!
Hayo ni madogo sana ukilinganisha na mazuri yake.
Na hakumlinda yeyote, ndio maana uliona mawaziri wanajiudhuru, mpaka waziri mkuu, alikuwa na uwezo wa kuzuia au kukataa kujiuzuru.
Mambo uloleta kwangu ni 0.5 ya π― mazuri ya uongozi wake
Waache CCM waendelee hivihivi...dalili zinaonyeaha wananchi wameanza kukataa kuwekewa viongozi wasiowachagua....hizi mbinu chafu zinakaribia mwisho wakeKipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
- Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
- matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
- Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
- Uhuru mkubwa kwenye vyombo vya habari
- jitihada ya mchakato wa katiba mpya
- n.k.
Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini vitu kama rpoti za cag na skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuzima mic, kufukuza wabuaji kama ilivyo kwa sasa kina Mpina au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari navyo vilileta chachu ya kufukua zaidi na kutufungua macho.
Tulitegemea kiongozi ajae atadumisha utamaduni huu na kurekebisha mapungufu ya awamu ya Kikwete lakini kilichotokea ni opposite,
Then came a man known as Magufuli, Ni kweli kuna mapungufu ya awamu ya Kikwete aliyapunguza mfano kupunguza ajira za connection (Licha ya kwamba awamu yake ajira zilipungua) lakini alivuruga kabisa utamaduni ulioanzishwa wa kuimarisha uwanja huru wa siasa, uhuru wa maoni, n.k.
Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL", hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, kimbunga cha watu wasiojulikana, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato kulijengwa vitu vilvyoacha maswali mengi, n.k.
Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.
Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
Itakuja siku tutakuwa na cgaguzi huru kama Marekani na Kenya.Tutapigia CCM tu