Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Watanzania tunatakiwa tuachane na upumbavu wa ku dodge majukumu yetu tukitegemea watu watafanya kwa ajili yetu.
That is something that will completely never happen. Kutegemea wanasiasa wata work on our favours bila kuwashurutisha ama hata kuwafurusha its next to impossible.
Njia ya amani imeshashindikana basi tutumie njia mbadala. Hata mtoto huanza kwa kukanywa kwa maneno asipoelewa next move huwa ni kutumia nguvu ya mikwaju. What seems to be happening in Tanzania ni kuona mtoto hasikilizi maonyo then tunaishia kulalamika na tumestack katika hilo tukitegemea mtoto atabadilika awe kama mzazi anavyotaka badala ya ku enforce nguvu.