Pre GE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

Pre GE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umewahi kumwona shetani wewe? Hayupo lakini dini zinasema ni mbaya na bado analaaniwa. Hitler naye bado analaaniwa. Kwa kifupi ubaya haufutiki mtu anapofariki. Na aliyefanya mazuri naye atakumbukwa. Unauliza nimefanya nini tangu aondoke... umejuaje sijafanya kitu? Magufuli alikuwa shetani. Alise-set precedent mbaya sana kwa nchi yetu ambayo itachukuwa muda kuisha.
Ebu kuwa na heshima na kinywa chako hii mitandao ya kijamii isikufanye ujitoe ufahamu wako wewe ukiitwa shetani utafurahi?
 
The problem with you is that whenever someone criticizes the failed CCM top leadership, you immediately conclude that they are a CHADEMA party member. What a nonsensical way of arguing! Ubongo wako umejaa elememets za unyumbu, matokeo ya elimu ya kukariri.
Mbadala wa CCM ndio kama upinzani tulionao sasa hivi shida inaanzia hapa ndio maana wengine wameamua wasiwe wanapiga kura
 
Mbadala wa CCM ndio kama upinzani tulionao sasa hivi shida inaanzia hapa ndio maana wengine wameamua wasiwe wanapiga kura
Unaweza kuwafanya hao hao CCM wakawajibika kwa kuhakikisha wanapatikana viongozi wazuri wenye upeo badala ya kusubiri ''mbadala''. Timiza wajibu wako kwa kudai katiba nzuri na viongozi wa CCM wanapofanya makosa au ufisadi jitokeze kuwakemea na kudai waondolewe. Wewe unadhani ukikaa na kukata tamaa mabadiliko yataletwa na malaika?
 
Imepitwa na wakati. Huwezi kufanya siasa za kiuanaharakati katika karne hii ukaeleweka. Aina ya siasa hiyo imekaa kishari na inaaashiria vurugu. Aina hiyo ya siasa haikubaliki kwa jamii iliyostaarabika. Angalia hata mwitikio wa maandamano kuhusiana na utekaji. Hakuna aliyekwenda.
🚮
Wapinzani kamwe hawataishika dola kwa aina hii ya siasa wanayoifanya. Haitatokea.
🚮 🚮 🚮
Uvccm imesheheni wajinga wengi mno. Endelea kujidanganya
 
Mkwere ndio raisi wa ovyo kuwahi kutokea kwenye hii nchi
Kupata jibu hilo, umefanya very poor analysis kwa kitumia false premises na kupata wrong conclusion.

1.Wakati wake mawaziri ,Msabaha, Katibu Maswi Eliakimu, Lowasa, walianguka Toka madarakani kwa scandal mbalimbali.

JK angekuwa wa hovyo angewalinda, lakini aliridhia kujiuzuru Kwao.

2.Report za CAG kuhusu matumizi na wizi serikalini zilijadiliwa kwa uwazi bungeni,
Magufuli hakutaka,na alimfukuza kazi Prof Assad CAG kwa kuweka wazi madudu ya Serikali.

Leo pia Mama Abdul anaogopa , speaker anaogopa, hawataki report za CAG zisomwe na kujadiliwa kwa uwazi bungeni.

3.Wabunge wa CCM walitenguliwa na Mahakama baada ya wapinzani kukata rufaa Mahakamani, hakuwahi kuingilia uhuru wa Mahakama hata siku moja.

4.Uwanja wa siasa kulikuwa na mazingira rafiki ya kufanya Siasa, alikaa na wapinzani IKULU wakaongea , kwa maslahi ya taifa, wakanywa na na Sharubati. wakacheka, wapeana 5, Waka shake hand na nchi ilikua inapumua.

Sio sasa Mama Abdul na UONGO wa 4 R magumashi zake.hamna kitu.

5.Mtandao wa barabara za Rami kuunganisha mikoa nchi nzima, ni yeye,SGR ,Interchange zilikuwa on paper wakati wake.bMagufuli akaja kujenga.

6.Ajira kila mwaka aliajiri wahitimu wengi wa vyuo vikuu, madaktari ,walimu kwa uchache kuwataja waliajiriwa.
Aliongeza mishahara kila mwaka Leo ni taabu tupu.

7.Vyombo vya habari vilifanya kazi kiasi kikubwa wakiwa huru, likiwemo gazeti la mwanahalisi ambalo lilimwita VASCO DA GAMA kwa ajili ya kusafiri.

Kwangu mimi na kwa wanaoelewa ,Kikwete was the best President ever, and will remain best President of our time.

Alikuwa na weakness ndogondogo za kibinadamu, ambazo Mamako, Babako, watoto wako na mke wako na wewe mwenyewe kama binadamu unazo.

Issue ya kutekwa ulimboka kwangu ni sawa kwa maslahi ya Taifa,mgomo ulikuwa mbaya uliua ndugu zetu hospitalini hasa Muhimbili.

Karibu UORODHESHE MABAYA YA JK angalau manne hivi.

Na kama ni kwa sababu ya chuki utueleze chuki yako inatokana na nini hasa.

🙏🙏
 
Kuleta ufisadi wa kiwango cha juu kwako ni kuleta mwanga? Hakuna Rais anayeweza kuvunja rekodi ya ufisadi wa mkwere
Na hata hiyo demokrasia tunayoisifia ilikuwa ni katika kuwafanya wapinzani wapunguze kumfuatilia ila kwa kweli hakuna kipindi ambacho taifa hili limepotia ufisadi wa kutisha na nchi ilikuwa inanuka madawa ya kulevya kama wakati wa mkwere, kama huna pesa kipindi cha mkwere sijui ni haki gani ungeweza kuipata. Kama huna mtu anayekujua sijui ungepitia wapi kupata nafasi kwenye sekta nyeti kama huna pesa au huna baba au mjomba serikalini.

Yaani wakati wa JK ukiyaona majina ya watu waliokuwa kwenye sekta nyeti ungedhani hii nchi inawatoto wa wakubwa tu ndiyo viongozi. Anagalia BOT na vitengo vingine nyeti kama huna jina sijui ungepitia wapi.

Kwakweli JK utawala wake ulikuwa dhaifu sana na tusiombe akaja kutokea kiongozi wa karba ya mkwere.
 
Kupata jibu hilo, umefanya very poor analysis kwa kitumia false premises na kupata wrong conclusion.

1.Wakati wake mawaziri ,Msabaha, Katibu Maswi Eliakimu, Lowasa, walianguka Toka madarakani kwa scandal mbalimbali.

JK angekuwa wa hovyo angewalinda, lakini aliridhia kujiuzuru Kwao.

2.Report za CAG kuhusu matumizi na wizi serikalini zilijadiliwa kwa uwazi bungeni,
Magufuli hakutaka,na alimfukuza kazi Prof Assad CAG kwa kuweka wazi madudu ya Serikali.

Leo pia Mama Abdul anaogopa , speaker anaogopa, hawataki report za CAG zisomwe na kujadiliwa kwa uwazi bungeni.

3.Wabunge wa CCM walitenguliwa na Mahakama baada ya wapinzani kukata rufaa Mahakamani, hakuwahi kuingilia uhuru wa Mahakama hata siku moja.

4.Uwanja wa siasa kulikuwa na mazingira rafiki ya kufanya Siasa, alikaa na wapinzani IKULU wakaongea , kwa maslahi ya taifa, wakanywa na na Sharubati. wakacheka, wapeana 5, Waka shake hand na nchi ilikua inapumua.

Sio sasa Mama Abdul na UONGO wa 4 R magumashi zake.hamna kitu.

5.Mtandao wa barabara za Rami kuunganisha mikoa nchi nzima, ni yeye,SGR ,Interchange zilikuwa on paper wakati wake.bMagufuli akaja kujenga.

6.Ajira kila mwaka aliajiri wahitimu wengi wa vyuo vikuu, madaktari ,walimu kwa uchache kuwataja waliajiriwa.
Aliongeza mishahara kila mwaka Leo ni taabu tupu.

7.Vyombo vya habari vilifanya kazi kiasi kikubwa wakiwa huru, likiwemo gazeti la mwanahalisi ambalo lilimwita VASCO DA GAMA kwa ajili ya kusafiri.

Kwangu mimi na kwa wanaoelewa ,Kikwete was the best President ever, and will remain best President of our time.

Alikuwa na weakness ndogondogo za kibinadamu, ambazo Mamako, Babako, watoto wako na mke wako na wewe mwenyewe kama binadamu unazo.

Issue ya kutekwa ulimboka kwangu ni sawa kwa maslahi ya Taifa,mgomo ulikuwa mbaya uliua ndugu zetu hospitalini hasa Muhimbili.

Karibu UORODHESHE MABAYA YA JK angalau manne hivi.

Na kama ni kwa sababu ya chuki utueleze chuki yako inatokana na nini hasa.

🙏🙏
Naam, ni hoja lyoshiba
 
Na hata hiyo demokrasia tunayoisifia ilikuwa ni katika kuwafanya wapinzani wapunguze kumfuatilia
Hao walioitwa wapinzani enzi za mkwere walikuwa ni mapandikizi yake wenye njaa yao mjini...

Hapakuwa na wapinzani halisi na ndio maana alipikuja JPM aliwafunua utupu hao 'wapinzani' kwa kuwanunua na kuwapa ubunge kwa tiketi ya CCM.

JPM ni rais aliyetuthibitushia kuwa hakuna wapinzani TZ.
 
Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.

Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi

  • Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
  • matumizi madogo sana ya nguvu ya polisi kuzuia upinzani
  • Aliruhusu yeye na serikali yake kukosolewa
  • Uhuru mkubwa kwenye vyombo vya habari
  • jitihada ya mchakato wa katiba mpya
  • n.k.

Kwa mara ya kwanza tangu uhuru tulipiga hatua kubwa sana kwenye mazingira ya kisiasa, huwez amini vitu kama rpoti za cag na skendo za ufisadi kama escrow na Richmond zilichambuliwa bungeni bila spika kuzima mic, kufukuza wabuaji kama ilivyo kwa sasa kina Mpina au kukataa hoja izungumziwe, Vyombo vya habari navyo vilileta chachu ya kufukua zaidi na kutufungua macho.

Tulitegemea kiongozi ajae atadumisha utamaduni huu na kurekebisha mapungufu ya awamu ya Kikwete lakini kilichotokea ni opposite,

Then came a man known as Magufuli, Ni kweli kuna mapungufu ya awamu ya Kikwete aliyapunguza mfano kupunguza ajira za connection (Licha ya kwamba awamu yake ajira zilipungua) lakini alivuruga kabisa utamaduni tuliotegemea wa kuendeleza uwanja huru wa siasa, uhuru wa maoni, n.k.

Siku za mwanzo tu aliwaonya wanaomkosoa "BE CAREFUL", hakuvumilia serikali yake kukosolewa waliodiriki walikiona cha mtemakuni, kimbunga cha watu wasiojulikana, CAG alitimuliwa kwa kuweka wazi serikali inafuja pesa, Chato kulijengwa vitu vilvyoacha maswali mengi, n.k.

Kinachoendelea ni kile kile part 2, ni utamaduni wa mfumo wa chama kmoja ulodumu miaka mingi na kuongezewa baadhi ya vitu hasa kwenye kuzimisha upinzani.

Itachukua miaka mingi sana kumpata kiongozi kama Kikwete kuleta siasa zenye afya
hakuna haja ya akupiga kura kwa maana chaguzi zimegubikwa na wizi.
na huu ndio msingi wa umaskini wetu mpaka tutakapojitambua.

Na amini kizazi kitakachofata kitasattarabika kama nchi za Marekani na Kenya
 
Ni kweli Kikwete aliwapa uhuru vyama vya upinzani.

Ila wapinzani nao waliabuse huo uhuru.

Tatizo la upinzani tulionao ni aina ya siasa wanayofanya.

Imepitwa na wakati. Huwezi kufanya siasa za kiuanaharakati katika karne hii ukaeleweka. Aina ya siasa hiyo imekaa kishari na inaaashiria vurugu. Aina hiyo ya siasa haikubaliki kwa jamii iliyostaarabika. Angalia hata mwitikio wa maandamano kuhusiana na utekaji. Hakuna aliyekwenda.

Vyama vya kisiasa hapa nchini vinapaswa kubadilika na kuwa vyama na sio taasisi za kiuanaharakati.

Lowasa alijaribu sana kuwabadilisha Chadema lakini alishindwa.

Wananchi wanachotaka kusikia ni sera na namna ya kuzitekeleza na sio kuwajengea hofu na kuwapotosha watu.

Wapinzani kamwe hawataishika dola kwa aina hii ya siasa wanayoifanya. Haitatokea.
Nashauri tufute vyama na chaguzi zoooote
Watanzania hatupo tayari na chaguzi.
Viongozi wotee wawe wanateuliwa na chama.
 
Back
Top Bottom