Ndani ya siku 18 za Mama Samia, Taifa limejawa na FURAHA ingawa hajagawa pesa barabarani wala kuongeza mshahara ila maneno tu ya faraja!

Mkuu tunakupa ruhusa wewe usimuamini.

Tuachie Sisi watanzania tumuamini.
Siyo suala la mimi vs ninyi watanzania!Ni suala la ukweli/facts vs maneno matamu na ya kuhadhaa watu.Nchi huwa haiongozwi kwa maneno matamu na yanayotia matumaini bali huongozwa kwa mujibu wa sheria na kwa bahati mbaya tayari tuna sheria kandamizi na onevu ambazo zilitungwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Magufuli.Kwa kuwa nchi huongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa mujibu wa maneno matamu tunataka Samia afute sheria hizo gandamizi badala ya kutupa maneno matamu ambayo hayaongozi nchi.Umenipata hapo?
 
Huo ni mwanzo tu, huwezi futa sheria hizo ndani ya siku 18 !!!
 
Sasa ana wiki moja unaanza kumlaumu hivi
Namlaumu kwa sababu Taifa huwa linaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa mujibu wa maneno matamu.Yeye leo alipaswa atoe ahadi kuwa atafuta sheria zote kandamizi ambazo alitunga yeye mwenyewe pamoja na magufuli ila hakufanya hivyo.Hilo ndilo ambalo lingetupa matumaini.Maneno yake matamu hayana faida yoyote kwetu kwa sababu siku zote maneno matamu huwa ni mtaji wa wanasiasa katika kuhadaa watu.Hata Hitler aliwapa maneno matamu wananchi wa Ujerumani hadi wakamuamini na kumpa uwaziri mkuu but the remaining is history!
 
Je ulitaka azibadikishe kwa usiku mmoja? Utaratibu ni kwamba hizi sheria lazima zipelekwe bungeni na kuzifutulia mbali. Nakubaliana na wewe sheria kandamizi zipo na haziitaji kuwepo kwenye jamii na dunia ya leo?
Namlaumu kwa sababu Taifa huwa linaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa mujibu wa maneno matamu.Yeye leo alipaswa atoe ahadi kuwa atafuta sheria zote kandamizi ambazo alitunga yeye mwenyewe pamoja na magufuli ila hakufanya hivyo.Hilo ndilo ambalo lingetupa matumaini.Maneno yake matamu hayana faida yoyote kwetu kwa sababu siku zote maneno matamu huwa ni mtaji wa wanasiasa katika kuhadaa watu.Hata Hitler aliwapa maneno matamu wananchi wa Ujerumani hadi wakamuamini na kumpa uwaziri mkuu lakini yaliyokuja kutokea kila mtu ni shahidi!
 
Kama kawaida yako mzee wa kupinga kila kitu[emoji1787]
Umeanza kumpinga hadi mama[emoji28]
 
I think hivo vitarudishwa Tena bungeni ka hyo Sheria ya mitandao, kanuni za mawasiliano ya kielectronic ni ya kufutwa kabisa hata hyo ya msajil ni ya kufutwa kabisa
Samia angekuwa na nia ya kuzifuta hizi sheria kandamizi angekuwa tayari ameshasema katika hutoba zake ambazo tayari ameshatoa.Hana nia ya kuzifuta na nakuhakikishia kuwa anaendelea pale alipoishia Magufuli.Mark these words!
 
Bora ya mama kuliko Jiwe Mara elfu, Mimi mwenyewe Nina furaha, tumpe mda
Namlaumu Mama na sikubaliani na maneno yake matamu kwa sababu Taifa huwa linaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa mujibu wa maneno matamu.Yeye leo alipaswa atoe ahadi kuwa atafuta sheria zote kandamizi ambazo alitunga yeye mwenyewe pamoja na magufuli ila hakufanya hivyo.Hilo ndilo ambalo lingetupa matumaini.Maneno yake matamu hayana faida yoyote kwetu kwa sababu siku zote maneno matamu huwa ni mtaji wa wanasiasa katika kuhadaa watu.Hata Hitler aliwapa maneno matamu wananchi wa Ujerumani hadi wakamuamini na kumpa uwaziri mkuu but the remaining is history!
 
Kwa hiyo kwa siku 18 tu ulitaka hizo sheria kandamizi ziwe zimeisha zote kurekebishwa, wewe ungeweza?
Kimatendo, mama anaonekana kwa dhati kabisa anataka tuwe kwenye mstari, hatuwez kumuhukumu kwa siku hizi 18,lakini unaweza kutest hypothesis ukaona kabisa mwelekeo ni wenye matumaini.
Issue ya kuwaita wafanyabiashara wote walioondoka nchini kurudi kuwekeza, vyombo vya habari vilivyofungiwa kufunguliwa na sheria za habari kuwa wazi ili adhabu iwe dhahiri kwa atakaye vunja, mambo kama TRA kukusanya kodi kwa weledi bila kugandamiza watu, suala la kuunda kamati maalum itakayotoa mapendekezo ya jinsi ya kuendea suala la dunia(COVID 19) ni mwanzo mwema ambao Watanzania wengi wanaanza kupata matumaini.
Hopes pekee huleta FURAHA!
 
Tumpatie muda mama,sio rahis kufanya hayo kwa muda wa siku 18 kumbuka kuna Bunge la bajeti linaendelea ,so kufanya reformation ya hayo yote inahitaji muda pia.
Lakini angalau kuna mwanga tunaona.
Namlaumu kwa sababu Taifa huwa linaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa mujibu wa maneno matamu.Yeye leo alipaswa atoe ahadi kuwa atafuta sheria zote kandamizi ambazo alitunga yeye mwenyewe pamoja na magufuli ila hakufanya hivyo.Hilo ndilo ambalo lingetupa matumaini.Maneno yake matamu hayana faida yoyote kwetu kwa sababu siku zote maneno matamu huwa ni mtaji wa wanasiasa katika kuhadaa watu.Hata Hitler aliwapa maneno matamu wananchi wa Ujerumani hadi wakamuamini na kumpa uwaziri mkuu but the remaining is history!
 
Namlaumu kwa sababu Taifa huwa linaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa mujibu wa maneno matamu.Yeye leo alipaswa atoe ahadi kuwa atafuta sheria zote kandamizi ambazo alitunga yeye mwenyewe pamoja na magufuli ila hakufanya hivyo.Hilo ndilo ambalo lingetupa matumaini.Maneno yake matamu hayana faida yoyote kwetu kwa sababu siku zote maneno matamu huwa ni mtaji wa wanasiasa katika kuhadaa watu.Hata Hitler aliwapa maneno matamu wananchi wa Ujerumani hadi wakamuamini na kumpa uwaziri mkuu but the remaining is history!
 
Hayo yote mama kayazungumza! Kama unaweza kafungue hotuba yote Youtube, waendesha mitandao na vyombo vya habari wote ameagiza wafunguliwe, wafanyekazi ili mradi wafuate sheria, na sheria ziwe wazi.
 
Hayo yote mama kayazungumza! Kama unaweza kafungue hotuba yote Youtube, waendesha mitandao na vyombo vya habari wote ameagiza wafunguliwe, wafanyekazi ili mradi wafuate sheria, na sheria ziwe wazi.
Namlaumu Mama na sikubaliani na maneno yake matamu kwa sababu Taifa huwa linaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa mujibu wa maneno matamu.Yeye leo alipaswa atoe ahadi kuwa atafuta sheria zote kandamizi ambazo alitunga yeye mwenyewe pamoja na magufuli ila hakufanya hivyo.Hilo ndilo ambalo lingetupa matumaini.Maneno yake matamu hayana faida yoyote kwetu kwa sababu siku zote maneno matamu huwa ni mtaji wa wanasiasa katika kuhadaa watu.Hata Hitler aliwapa maneno matamu wananchi wa Ujerumani hadi wakamuamini na kumpa uwaziri mkuu na yaliyokuja kutokea baadae kila mtu ni shahidi!
 
Hayati alikuwa na maadui wengi,toka amefariki zile story za baadhi ya watu kwamba watu wengi wanakufa kwa corona TZ hakuna tena...hii inaonesha wazi kwamba tatizo halikuwa corona bali hayati.
 
Nigga learn to enjoy the moment.

Mabadiliko yanaanza na kukiri uwepo wa tatizo.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…