Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

Sijui kila mtu na mtazamo wake siwezi kabisa kuzeekea kwenye ndoa yenye trauma
Mnaachana uzeeni huna nguvu tena migawanyo sijui ya mali

Narudi palepale tunatofautiana mitazamo
 
Sijui kila mtu na mtazamo wake siwezi kabisa kuzeekea kwenye ndoa yenye trauma
Mnaachana uzeeni huna nguvu tena migawanyo sijui ya mali

Narudi palepale tunatofautiana mitazamo
At that age wala watu hawana mda na hizo mali. Yani huenda nina assets zangu na huzijui, nakuacha na nyumba naondoka zangu kwa amani kabisa, muhimu tumelea watoto na kila mtu ana maisha yake, nitakuwa na amani kuliko naondoka nyumbani watoto bado wadogo, sijawajengea kesho yao. It'll be so painful asee.

Mitazamo lazima tutofautiane ndio maana ya dialogues.
 
Nje kidogo ya mada.

Siku hizi kuna utaratibu umeibuka, unakuta mwanamke au mwanaume akiwa kwenye maandalizi ya kuolewa au kuoa, kwenye zile kamati za maandalizi, mmoja wa wajumbe unakuta aliwahi kuwa ni mwenza wake. Hivi hiyo ni hali ya kuboresha mahusiano mema au moja ya mambo yanayoweza kupelekea ndoa mpya kuingia dosari.

Fikiria ex wa mkeo mtarajiwa ni sehemu ya wanakamati, kitakachoendelea hapo ni nini kama sio hao wawili kukumbushiana migegedo.
 
Kwa hiyo mkuu
Atheist mna wake wawili wawili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…