ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
Upande wangu mm hata kama mwanamke ndo kashindwa uvumilivu mm mwanaume inatakiwa nifanye maamuzi magum yale yale ya kumwacha pale nyumbani nimpe space aishi anavyo taka yeye.Kupambana na mwanamke ni kutafuta kifo cha haraka ni bora nitokomee huko nikaishi kwa amani.Mwanamke nae ikitokea ameshindwa kuvumilia afanyaje?
Halafu why hii topic mmeigeuza upande mmoja ?
Mzimbabwe na mama
Ya nini yote hayo sasa?Kwenye ndoa kila siku ni siku mpya na vita mpya
Kwani wanaochana painful hawana we sema ndoa itakua baado inavumilikaAt that age wala watu hawana mda na hizo mali. Yani huenda nina assets zangu na huzijui, nakuacha na nyumba naondoka zangu kwa amani kabisa, muhimu tumelea watoto na kila mtu ana maisha yake, nitakuwa na amani kuliko naondoka nyumbani watoto bado wadogo, sijawajengea kesho yao. It'll be so painful asee.
Mitazamo lazima tutofautiane ndio maana ya dialogues.
Bro talaka hata sio ishu, siku hizi kuna party ya talaka "talaka nginja ngija" watu tunaingoja kwa hamu hii siku😅😅 unatwangwa talaka ukiwa na njaa
But vice versa kuna anaepewa talaka ni kama alikua anaisubiri
Noma sana unabaki jinaNa ukizubaa unadunguliwa
Oyaaaa 🤣🤣🤣Bro talaka hata sio ishu, siku hizi kuna party ya talaka "talaka nginja ngija" watu tunaingoja kwa hamu hii siku
Bro nginja ngija tunahave fun hata ukiwa na miaka 60 ya ndoa..... bro tuacheeeeOyaaaa 🤣🤣🤣
Ila uwe kijana sasa
Mfano kama huyo mama kuna nginja ngija kweli🤭
Stress za kiafya, hasa zinazohusisha afya ya uzazi na akili, ambazo nyingi hujitokeza uzeeni, zinaweza pelekea kutengana au kuachana uzeeni. Mafanikio pia yanaweza kuwa chanzo: mfano, mmoja wenu kupata cheo au elimu ya juu (e.g. PhD) ghafla ambayo inapelekea mabadiliko makubwa ya kimaisha mkiwa in your mid 40s au 50s, inaweza pelekea mmoja kuanza kumuona mwenzake siyo type yake, hasa kama huyo mwenzake hana hayo mafanikio na ni msumbufu au abusive.Hivyo vitu vinavyofanya ndoa iwepo vinakosekana baada ya miaka 30+
Kuna umri ukifika, u handsome haupo na unatakiwa upate fedha kwa kile ulichokiwekeza ujanani, watoto wanaelekeza upendo kwa mama.
View attachment 3697678
Mhmm hii nasikia leoNje kidogo ya mada.
Siku hizi kuna utaratibu umeibuka, unakuta mwanamke au mwanaume akiwa kwenye maandalizi ya kuolewa au kuoa, kwenye zile kamati za maandalizi, mmoja wa wajumbe unakuta aliwahi kuwa ni mwenza wake. Hivi hiyo ni hali ya kuboresha mahusiano mema au moja ya mambo yanayoweza kupelekea ndoa mpya kuingia dosari.
Fikiria ex wa mkeo mtarajiwa ni sehemu ya wanakamati, kitakachoendelea hapo ni nini kama sio hao wawili kukumbushiana migegedo.
Kuhusu niniTry me
HongereniSisi waislam talaka ruksa.japo ni halali ambayo mungu anaichukia.ila Kwa maslahi ya wote wawili ni Bora kila mtu akashika NJIA yake Kwa wema
Acha gubu mtoto wa kiume hivi unajua kutofautisha kuongea mambo ya watu na kujenga mjadala ?Kabisaaaaa, sio kukaa tu kuongelea mambo ya watu
Mbona nyie ndio mnaongoza kuuaUpande wangu mm hata kama mwanamke ndo kashindwa uvumilivu mm mwanaume inatakiwa nifanye maamuzi magum yale yale ya kumwacha pale nyumbani nimpe space aishi anavyo taka yeye.Kupambana na mwanamke ni kutafuta kifo cha haraka ni bora nitokomee huko nikaishi kwa amani.
🤭🔥🔥 haya buraza umesomekaBro nginja ngija tunahave fun hata ukiwa na miaka 60 ya ndoa..... bro tuacheeee
Inasikitisha sanaStress za kiafya, hasa zinazohusisha afya ya uzazi na akili, ambazo nyingi hujitokeza uzeeni, zinaweza pelekea kutengana au kuachana uzeeni. Mafanikio pia yanaweza kuwa chanzo: mfano, mmoja wenu kupata cheo au elimu ya juu (e.g. PhD) ghafla ambayo inapelekea mabadiliko makubwa ya kimaisha mkiwa in your mid 40s au 50s, inaweza pelekea mmoja kuanza kumuona mwenzake siyo type yake, hasa kama huyo mwenzake hana hayo mafanikio na ni msumbufu au abusive.
Nambie hensam boy