zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
pumba tu... aachiwe kila kitu alitafuta? unaelewa kila kitu wewe juha? anaachiwa vitu vya kumuwezesha kula tu na kuvaa basi.Alikosea kidogo kuhusu kutompa talaka
Mwanamke akiwa jeuri na umeshazaa nae mwachie kila kitu na mpe talaka awe huru kuanzisha mahusiano mapya
Nakwambia atatiwa kuni huko lakini hatosahau hakuna malaika kama baba fulani Baada ya kunyooshwa
We masikinipumba tu... aachiwe kila kitu alitafuta? unaelewa kila kitu wewe juha? anaachiwa vitu vya kumuwezesha kula tu na kuvaa basi.
waswahili mna ushamba mwingi sana... mnadanganyana umri fulani uhandsome unaisha? tatizo hamjipendi, mna husuda na ndiyo maana mnakuwa na mentality za kijinga. i'm above 60 and still more handsome than your ex president(jk)Kuna umri ukifika, u handsome haupo na unatakiwa upate fedha kwa kile ulichokiwekeza ujanani, watoto wanaelekeza upendo kwa mama.
View attachment 3697678
acha bla bla za umasikini, nimeuliza kwa logic, je alivitafuta yeye mpaka aachiwe KILA kitu? umeelewa swali? hao wanaume kamili ni wepi? unawapimaje? kipimo chako ni standard kwa ulimwengu wote?We masikini
Mwanaume kamili hapotezi chochote akijipata
We mkolomije ishi maisha yako usinichosheacha bla bla za umasikini, nimeuliza kwa logic, je alivitafuta yeye mpaka aachiwe KILA kitu? umeelewa swali? hao wanaume kamili ni wepi? unawapimaje? kipimo chako ni standard kwa ulimwengu wote?
unathibitishaje kuwa kupambana na mwanamke ni kutafuta kifo cha haraka?Upande wangu mm hata kama mwanamke ndo kashindwa uvumilivu mm mwanaume inatakiwa nifanye maamuzi magum yale yale ya kumwacha pale nyumbani nimpe space aishi anavyo taka yeye.Kupambana na mwanamke ni kutafuta kifo cha haraka ni bora nitokomee huko nikaishi kwa amani.
a petulant kidWe mkolomije ishi maisha yako usinichoshe
Poteaa petulant kid
💔
Familia zina siri nyingi ndani yake. mabomu yanalipukaga ni swala la muda tu.Hamna kitu kama hicho
Na kama kuna uwezekano huo basi ni sawa wakiachana ni bora zaidi
Ila sasa kama ni mkuu si inamaana mwanamke alikua na viashiria vya usaliti kilichofanya amvumilie asimwache tangu mwanzo ni nini?
Aisee hapo ukimuona njee utadhani ana furaha kumbe uvumilivuFamilia zina siri nyingi ndani yake. mabomu yanalipukaga ni swala la muda tu.
Meanwhile uvumilivu una kikomo.
Mfano, Mimi nikiwa O-level mzee wangu alikua anazingua sana binafsi nikashindwa kuvumilia maana mama ndo alikua anaumia sana.
Nkamuweka mama chini nikamuambia nimeshakua anaweza akaenda popote kutafuta amani ya moyo aniache apo nitapambana na mzee,
Akaniambia hakuna kitu kinampa amani ya moyo kama akiniona kila siku.
Uvumilivu ndo changamoto. Kila mtu ana kiwango chake.
Hii taasisi ina mambo mengi sana.Aisee hapo ukimuona njee utadhani ana furaha kumbe uvumilivu
Kwakweli na Inasikitisha sanaHii taasisi ina mambo mengi sana.
unathibitishaje kuwa kupambana na mwanamke ni kutafuta kifo cha haraka?
Kijana nakushauri tu jitahidi kua unakaa na wazee wenye hekima zao hata hili swali usingeuliza.Ukishindwa fanya utafiti mdidogo ww mwenyewe utakuja na mrejesho.unathibitishaje kuwa kupambana na mwanamke ni kutafuta kifo cha haraka?
pumbavu... ninaweza kuwa mkubwa kuliko babako wewe mtoto. uwe na adabu.Kijana nakushauri tu jitahidi kua unakaa na wazee wenye hekima zao hata hili swali usingeuliza.Ukishindwa fanya utafiti mdidogo ww mwenyewe utakuja na mrejesho.
Hongera mjanja ..Na siobhuruka yangu kutukananapumbavu... ninaweza kuwa mkubwa kuliko babako wewe mtoto. uwe na adabu.
vijana mnajazwa ujinga na wazee wajinga, kwa sababu wajinga nao wanazeeka.
research ndoggo?research ipi? ni wanaume wajinga ndiyo hufa mapema kwa kushindwa na wake zao. huenda hata wewe ukawa kijana mjinga utakayekimbia mji kwa kushindwa na mkeo na kuogopa kufa mapema.
huna adabuHongera mjanja ..Na siobhuruka yangu kutukanana
Nimeona hekima na busara zako hapa.Nambie hensam boy
Sitaki kuamini kama unaniona hivyo,, itabidi nichinje jogoo la kienyeji kesho nilinywe supu,, aah ng'ombe hazeeki maini ujue,Nimeona hekima na busara zako hapa.
Hensam wapi uzee umeshavamia jua limezama.
Una hoja ujue dearHofu ya watoto watateseka inakua ishaisha kila mtoto kashakomaa anapambana na hali zake. Hapo ndo hata ukipukua vibaya mtu anaona yanini mieee 😀