Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Kazi gani watumishi wa umma wana miaka mitano bila nyongeza za mishahara?
Comrade kipindi cha awamu ya tano wote tumeshuhudia hakuna hata mtumishi mmoja aliyegoma kufanya kazi kama ilivyokuwa awamu ya nne hicho ni kithibitisho tosha kuwa watumishi wameridhika na performance ya Jemedari Magufuli.
 
Kinondoni Hadi bint akauliwa sababu ya tume,rejea chaguzi za kihuni za marudio,rejea chaguzi za kihuni za serikali za mitaa.
Kwasababu uliyemtaka wewe hakushinda ndio unaiita chaguzi za kihuni?
 
Ya Yahya Jameih, bashir, Mugabe walimiliki tume lkn wananchi hawakuzuiwa kushinda uchaguzi.
 
IGP wa kenya na uhuru kenyata waliponusa uchungu wa ICC leo hii wamejifunza wanaishi vizuri na upinzani hawana mambo yasiyo na tija kwa Taifa kuwabambikia kesi wapinzani kama ilivyokuwa kwa Tanzania
 
Hata wewe itakugharimu tu Na kizazi chako kinajurikana. njoo Mara uone kazi
 
NEC CCM mmeanza figisu zenu,TL ni hatari na nusu.

Wote mtatoka mafichoni na bado nguvu ya umma .

Anzeni na Jiwe kwanza anayetamka hadharani wananchi wasichague upinzani mara kutatokea vita,

Anasema hatapeleka miradi ya maendeleo mahali panapoongozwa na mpinzani.
 
Yaani tundu lissu toka arudi kutibiwa akili zake haziko sawa kila kitu sisi hatuwezi wanaweza ubelgiji si akagombee uko aliko toka atuache na amani yetu
 
IGP wa kenya na uhuru kenyata waliponusa uchungu wa ICC leo hii wamejifunza wanaishi vizuri na upinzani hawana mambo yasiyo na tija kwa Taifa kuwabambikia kesi wapinzani kama ilivyokuwa kwa Tanzania
Five walidhani Ni miaka 200 wakichezea Kodi zetu badala ya kutuletea maendeleo wamezitumia kumshughulikia mbowe.hamadi uchaguzi huu hapa hawana jipya,wakaanzia kampeni Kanda ya ziwa huku wamesahau waliwazulumu wavuvi nyavu zao,watu wamelipishwa faini Hadi milioni 4 kwa kukutwa na kitoweo Cha samaki.Moto waliokumbana nao Kanda ya ziwa ngome yao hawana hamu wameomba usaidizi wa tume.
 
Leta ushahidi chief minyoo wa makonda kusamehewa kukwepa kodi sio unaleta porojo za vijiweni.
Upewe ushahidi wewe punje ili iweje wakati umekariri zidumu fikra zisizo za mtukufu mwenyekiti wa CCM mpaka umejitoa fahamu zote, watapewa ushahidi wale wanaojielewa pekee.
 
Hivi NEC haina kanuni ya kucharaza bakora hadharani? Hii ingependekeza kuliko faini ya pesa! Ahahahahahahah!
 
Aliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Acha mizengwe wewe mpinzani wake ni nani hivi sasa ambaye polepole kila kukicha anaitisha press?
 
Unyanyasaji uonevu uovu wa utawala huu kandamizi wa kidikteta ni vigumu kusahaulika mioyoni mwa watanzania wenye Akili timamu
 
Hivi NEC haina kanuni ya kucharaza bakora hadharani? Hii ingependekeza kuliko faini ya pesa! Ahahahahahahah!
Wambie NECCCM Tumeccm waanze kumcharaza polepole aliyewaita wapinzani misukule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…