Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Unaushabiki wa kulevya, Mpaka unakurupuka:
1. Tundu Lissu Mikutano yake akiimaliza anafanya Maandamano bila kibali.
2. Tundu Lissu akifanya Mikutano huzidisha muda wa kampeni.
3. Tundu Lissu akifanya Kampeni ili kutafuta kiki hutukana watu Mfano Watumishi wa Serikali kuwaita takataka, n.k.
4. Tundu Lissu anakejeli Miradi ambayo huitumia hata kufika maeneo ambayo anayakejeli.
5. Tundu Lissu kwenye Kampeni zake hawaelezi Wananchi ajenda/Dira yake kwa Wananchi. Anachokifanya ni kulalamikia Risasi alizopigwa na kikosi cha Mwenyekiti wake, kujipendekeza kwa wakoloni, n.k.

NB: To be patient anatakiwa kubadilika. Asije akajisahau kwamba hakuna maisha baada ya kugombea aende akawaulize watangulizi wake 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ccm sio mtu mmoja kama mlivyo chadema na Mbowe, ccm itadumu daima na milele kwasababu sisi hatuwekezi kwa mtu bali wa umma.
Kwa hili nakupinga.2015 mlikuja na slogan ya chagua Magufuli.Kabla ya kukemewa na Mkapa ilkuwa credit zote ni kwa serikali ya Magufuli na sio ya CCM.Kwa hili kidogo umeghafilka.
 
Mtaongea propaganda zote mwaka huu. Eti kawaita watumishi wa serikali takataka 😂😂😂

Yaani mnatuona watanzania wajinga eeeh??? Mtatuona hatukumuangalia kabudi akisema ametolewa jalalani??? Kweli Ccm vilaza sana
 
Shida ipo wapi. Kama hana sera/ dira si ni jukumu la wananch kusmua na sio NEC
 
Natafakar majibu atakayowapa na maswali atakayowauliza. Mi natoa rai wakimwita mkutano ue Live ili wananchi waone mbichi na mbofumbofu toka Tume iliyojaa upendeleo...!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Lissu lazima arekodi mkutano wote na ataturushia wananchi tutasikia. Watajua hawajui mwaka huu dadeki 😂😂😂
 
Nikaja kukula wewe au?


Baada ya kuliwa na Askofu Gwajima ?? Usijaribu kuharibu uzi umeishiwa nenda kwa Gwajima akakutafune hapa hupati mtu. Makamanda wako kuikomboa nchi
 
Mara nyingine hata kama nyie ni matatumbeta ya Lumumba muwe mnatumia akili zenu!! Una akili ya kuandika humu lakini huwezi kuona UKIUKWAJI mkubwa wa KANUNI za kampeni na MAGUGULI?
Hata wewe itakugharimu tu Na kizazi chako kinajurikana. njoo Mara uone kazi
Mtu mwenyewe unaitwa Mugabe one sasa tukujibu nini wakati umerithi jina lenye laana
 
Kwa hili nakupinga.2015 mlikuja na slogan ya chagua Magufuli.Kabla ya kukemewa na Mkapa ilkuwa credit zote ni kwa serikali ya Magufuli na sio ya CCM.Kwa hili kidogo umeghafilka.
Mkuu 2015 unajua vizuri kabisa chama kilikua na hali gani ilifika kipindi tulishindwa hata kuvaa sare za chama mitaani kwa uhuru. Uliza leo tunajimwaya na kujimwaga kwa uhuru sababu kubwa ni kuwa chama kimerudisha imani kwa wananchi.
 
Mahera ni nani? Mtu yeyote ambaye anaishi kwa kulamba nyayo za wanasiasa badala ya kuegemea taaluma yake na maadili ya ofisi aliyokabidhiwa, anakuwa takataka mbele ya jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena tuna hadi video zake akishiriki vikao vya Ccm mpumbavu huyu. Anajifanya watanzania wa leo ni wajinga sana eeh??
 
CCM wamepoteza mvuto, kilichobaki wanakimbilia vibaraka wao NEC na polisi. Mwaka huu hamchomoki mbwa nyie
 
Kila hila wanayoifsnya kwa LISU MI KUMPA MAILAGE KUBWA SANA sasa LISU ASIACHE KWENDA TENA MAANDAMANO YAAMZIE PALE PALE AU KONDOA
 
Ukianzishe nyuma ya keyboard??? Uyo TL hana fikra finyu kama zako anajua madhara ya kutoitikia wito yalivyo sidhani kama atachukua ushauri wa ovyo kabisa kutoka kwako.
Mtajua hamjui mwaka huu. Jaribuni kufanya udhalimu wenu juu ya Lissu muone kama tunatania nyuma ya keyboard au Tuko serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…