NTWA MWIKEMO
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 734
- 366
Unaushabiki wa kulevya, Mpaka unakurupuka:Huyu Mkurugenzi Charles Mahera tunajuwa namna alivyopata hii nafasi ya Ukurugenzi wa NEC kwa upendeleo ili aje atumike kumptisha Magufuli akishindwa au atengeneze mazingira ya Magufuli kushinda.
Haiingii akilini kwa kutomuandikia Magufuli kwa vitendo vya wazi wazi anavyovifanya kwenye mikutano ya Kampeni hasa anapotoa maagizo kwa TANROADS kujenga mababara.
Nitoe onyo tu, Mahera akumbuke ana familia inayomtegemea, akimfumbia macho Magufuli na kukubali maagizo anayompa itamgharimu yeye na kizazi chake. Mwaka huu CHADEMA hatuibiwi!!!
1. Tundu Lissu Mikutano yake akiimaliza anafanya Maandamano bila kibali.
2. Tundu Lissu akifanya Mikutano huzidisha muda wa kampeni.
3. Tundu Lissu akifanya Kampeni ili kutafuta kiki hutukana watu Mfano Watumishi wa Serikali kuwaita takataka, n.k.
4. Tundu Lissu anakejeli Miradi ambayo huitumia hata kufika maeneo ambayo anayakejeli.
5. Tundu Lissu kwenye Kampeni zake hawaelezi Wananchi ajenda/Dira yake kwa Wananchi. Anachokifanya ni kulalamikia Risasi alizopigwa na kikosi cha Mwenyekiti wake, kujipendekeza kwa wakoloni, n.k.
NB: To be patient anatakiwa kubadilika. Asije akajisahau kwamba hakuna maisha baada ya kugombea aende akawaulize watangulizi wake 🤣🤣🤣🤣🤣