Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
Pokea laana Na ikuingie milele kwa jina la YesuMara nyingine hata kama nyie ni matatumbeta ya Lumumba muwe mnatumia akili zenu!! Una akili ya kuandika humu lakini huwezi kuona UKIUKWAJI mkubwa wa KANUNI za kampeni na MAGUGULI?
Mtu mwenyewe unaitwa Mugabe one sasa tukujibu nini wakati umerithi jina lenye laana
Nasema hivi fanyeni upumbavu wenu mpate majibu yetu mwaka huu. Si mlianza kusema tunaosema tutampokea airport Tupo nyuma ya keyboard eeh? Sasa si mliona majibu yake?Hamna jipya nyie maji ya shingo mnaanza mikwara nyuma ya keyboard. Oparesheni UKUTA iliishia wapi comrade?
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa...
Jaribuni muone. Shenzi zenu!!Huyo lissu apigwe ban tu amna jeans
Hahaha sawa comrade.
Mumeo ana hasara kubwa sana kua na mwanamke kama wewe...Huyo lissu apigwe ban tu amna jeans
Yaaani kwa akili zako unategemea Magufuli Kama individual awe na tuhuma anazowajibika moja kwa moja asitajwe? hapo ndio ntajua kuwa Kuna mambo au taratibu ni hazitekelezeki hata Kama zimelenga kumlinda mtu fulaniAliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Lissu kawachanganya mmechanganyikiwa hadi mnatia aibu!! Kwa iyo mbaowabeba kwenye maroli ndo wamejiandikisha tu ??? Kweli Ccm hamna akili 😂😂Tundu hawajui watanzania, wafuasi wake ni zaidi ya wajumbe maana heri wajumbe wanapiga kura hao wa Tundu wanakaa nyuma ya keyboard kumjaza, wachache wanaenda kumtazama na wakati huohuo asilimia kubwa hawana hata vikatio
2810
Kada wa CCM anaenda kumhoji chadema kwa kutumia maswali aliyokariri toka kwa mtukufu mwenyekiti wa CCMHuyu Mkurugenzi anashindwa hata kuficha mahaba yake Kwa CCM? hivi ni kazi yake pia kuona yaliyo mioyoni MWA watu?.
Mashujaa wa nyuma ya keyboard endeleeni kuweweseka Lissu hatoshinda na hakuna mtakachokifanya mapimbi washamba.Nasema hivi fanyeni upumbavu wenu mpate majibu yetu mwaka huu. Si mlianza kusema tunaosema tutampokea airport Tupo nyuma ya keyboard eeh??? Sasa si mliona majibu yake???
Fanyeni ufedhuli wenu sasa mpate majibu yetu. Vilaza wakubwa nyie!
Baraza la mawaziri bunge vilishavunjwa lakini mpaka sasa mawaziri wanatumia magari ofisi za Serikali kama kawaida kinyume cha katiba na SheriaKeshawajibu kibabe Tarime , amesema anahitaji majibu KASSIM MAJALIWA anazurura mikoani kufanya kampeni kama nani?
Hiyo tume haitaweza kumjibu swali hilo kabisa.Atawaburuza kwenye sheria watamwelewa tu hata kama ni wabishi
Lissu ni mjanja sana, NEC wanazidi kumpa umaarufu kwanza wanaonesha kabisa ni wazi wanamkingia kifua mtu Fulani...hi tume haiko huruIla jamaa anaropoka aisee hana breki , lolote linalokuja kichwani anaongea tu bila kudigest.
Yaani inaumiza, unashindana na mtu ambaye bado ana mihuri anaamua atakalo hii ni balaa zito sana.Baraza la mawaziri bunge vilishavunjwa lakini mpaka sasa mawaziri wanatumia magari ofisi za Serikali kama kawaida kinyume cha katiba na Sheria
Atawazidi kwa hoja maana mambo aliyoongelea ni mapesi sana kujitetea, hicho kikao kingekuwa live kwa ninavyomjua Lissu atawagalagaza kwa hoja.Haya ameyataka mwenyewe! Ngoja tusubiri tena wamemlea muda mrefu sana!
Wewe ndiyo shujaa wa nyuma ya keyboard kauli ya kishamba iliyokuwa ikitumiwa na Le mutuz kubwa jinga zamani, wewe ndiyo pimbi mweha mshamba wa jalalani unakovuta Bangi huna cha kujivunia uonekane ni mjanja.Mashujaa wa nyuma ya keyboard endeleeni kuweweseka Lissu hatoshinda na hakuna mtakachokifanya mapimbi washamba.
Comrade povu jingi sana hilo ni dhahiri wewe unaweweseka sana kuliko wengine.Wewe ndiyo shujaa wa nyuma ya keyboard kauli ya kishamba iliyokuwa ikitumiwa na Le mutuz kubwa jinga zamani, wewe ndiyo pimbi mweha mshamba wa jalalani unakovuta Bangi huna cha kujivunia uonekane ni mjanja, mifano yako yote ni ya kibwege bwege ingawa huko CCM pengine waliokutuma ni mbumbumbu wamekuona ni mjanja wao, na kama wewe ndiyo mjanja huko CCM basi wanaokutuma watakuwa majuha mazuzu balaa, wewe endelea kuweweseka vita Bangi endelea kujidanganya Tambua kuwa ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea na Tanzania sasa.