KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Usidanganye yeyote, na wewe mwenyewe unajidanganya kuwa kuna unachokielewa, ambacho wengine hawakijui!Mwisho wa siku kuna maisha baada ya uchaguzi hata mkipiga porojo uhakika wa magu kurud madarakani upo kwa asilimia kubwa siasa mchezo mchafu ndo maana sitaki kuongelea ya lisu au magu sababu najua kinachoendelea
Katokea kwa wakoloni, na alizunguka nchi mbalimbali kufanya interview zenye kuichafua Tz, plus aina ya kauli za kichochezi anazotoa majukwaani.Hayo yanatosha kumfanya aitwe kibaraka.Na wanaomuita kibaraka wana ushahidi ?!
Kwani hamkutaka hata aende akajitibu ?!. Mlitaka baada ya risasi azikwe. Na Mungu hakupanga hivyo.Katokea kwa wakoloni, na alizunguka nchi mbalimbali kufanya interview zenye kuichafua Tz, plus aina ya kauli za kichochezi anazotoa majukwaani.Hayo yanatosha kumfanya aitwe kibaraka.
Hahahaha, unachekesha, Dkt Magufuli ni taifa kubwa zaidi, ndiye kiongozi wetu mkuu, mwenye mamlaka juu yako na mama yako na baba yako. Ndiye anayeamua leo uamke salama! Ndiye amri jeshi mkuu anayehakikisha leo unapata muda wa kumtukana na ukaendelea kula bata mtaani. Na ndiye rais wako utake usitakeMagufuli kajithibitishia alikuwa anapambwa kama ntukufu ndani ya mwezi tu watanzania wanamwona zimwi hawataki hata kumsikia analazimisha wanafunzi. Watoto. Professor Assad taifa kubwa yule
Mkurugenzi mpya wa NEC, Charles Wilson Mahera, a top CCM agent in the electoral body. Huu mchezo haulisaidii Taifa letu.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa...
Mola anampigania Kila mtu...wewe unapiganiwa na Mungu...Mimi pia hivyo hivyo na JPM pia.. na wengine wote...mola hawezi kumpigania Lissu peke yake...TL mumeshindwa kumpa jina chafu kutokana na usafi wake.
Mola ataendelea kumpigania hadi mtajane wakuda nyie
Sasa kwanini anaogopa mdahalo??
CCM wakiambiwa ukwel wanapata taharukiParasatic Mind
Ni ngumu sana kujibu hoja za Tundu lissu,kwa ufupi jamaa ana akili.
Kila wanachofanya NEC NA CCM WANAMPA MAILAGE Myampaa kwani amesema nn cha uongo au m
Kama unalijua hilo risasi za nini sasa kwa mtu ambae sio mwizi wala fisadiMola anampigania Kila mtu...wewe unapiganiwa na Mungu...Mimi pia hivyo hivyo na JPM pia.. na wengine wote...mola hawezi kumpigania Lissu peke yake...
Ok ahsanteHana barua ya wito
Naona wameanza kurusha mabomuKumfungia asiendelee na kampeni, wamepewa maelekezo na aliyewateua wafanye kila joto hasa ya kumzuia Tundu Lissu asiingie Ikulu.
Ni wakati wa Mlima wa Babeli kuanguka umewadia.Naona wameanza kurusha mabomu
Hawatambui wanamuongezea Lissu kura in other words wanamfanyia kampeni bila kutambua
ccm vichwa maji kweli kweli
mdahalo kwan magu amesomea kuandika IMLA na mipasho? yeye kasoma PCM na ni phd holder huyo mwenzenu kasoma HGE lakini anajiona kama hakuna mwanasheria kama yeye tanzania, cha ajabu kila anachoogea ni pumba supporters wake wanamsupport tu, huu mwaka tegemeeni QUOTE]Huu ndio upunguani wenyewe, kwani mdahalo ni kwenda kuandila IMLA?? Chuki isikutie upofu mzee. Wanafanya mdahalo nchi zilizoendelea sembuse sisi, lazima wajibu maswali yetu kama wanataka kutumikia lazima tuwahoji.