Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Wanaolialia ni wale waliozoea vya dezo sasa JPM kaziba mirija mnakuja kulia hapa na bado tunamrudisha awanyoshe tena halafu kabla hajamaliza muhula wa pili tunaleta muswada wa kumuongezea muda mbona mtakimbia nchi.
Shida ipo hapo, kila anaye mpinga ni mpigaji, anatumiwa n mabeberu, .............na wapinzani wana capitalize kwa ku reverse hayohayo. Awe anarudi au anaondoka Magufuli kwangu ni kiongozi mbovu tu,hawezi kubalance mambo yake. Mwanasiasa and asoweza kushawishi lazima awe mwanasiasa mbovu.
 
Nchi haiwezi kushindwa kwasababu watanzania tumemkataa Lissu kwenye box la kura.

Ishindwe mara ngapi? mwendo kasi mmeshindwa kuuendeleza, mmeua fastjet leo hii waliokuwa wanapanda ndege wamerudi kupanda mabasi, ajira hakuna, marejesho ya mikopo mmeongeza asilimia. Hivi kweli mnamlenga mtanzania au majiangalia wenyewe kwa haya mnayoyafanya. TL amesema kidogo tu mnaanza kutangaza ajira mara mnalipa malimbikizo wa wafanya kazi, hii haina maana nyingine zaidi ya kuwa Lissu ndio mkombozi wa sisi watanzania wanyonge.
 
Kama kweli tume ipo huru, wamwite Magufuli aje athibitishe Lissu anatumiwa na Mabeberu kama sio uzushi na upunguani
NECCCM Tumeccm ichunguzwe kwa nguvu na taasisi zote za haki za binadamu Duniani kwani imekuwa chombo Hatari cha kuharalisha Aman ya Tanzania
 
kabla mimi sijamtafuta muroto muulize uchunguzi wa jambo lile ulipoishia

Nafikiri walisema kwamba uchunguzi uliishia pale waliposhindwa kumpata shahidi pekee ambae ni dereva wa Tundu Lissu.
 
Hili likitokea litakuwa mojawapo ya maajabu...
 
Wewe ndio unaleta porojo hapa kuwa ccm hali mbaya nakuhakikishia comrade tupo vizuri sana kuwasomesha namba.

Akili fupi hizi za kusomesha namba. Nenda kasutane na mashosti kibarazani hao ndio saizi yako.
 
TL asiende tukianzishe hapa hapa. Haina haja ya uchaguzi tena. Wamuite Magufuli kwanza - anadhalilisha akina mama, anafokea wapigakura eti hawapati maendeleo wakichagua wapinzani, sasa wanasema eti TL ana uraia wa nchi nchi nyingine! Waache ushenzi Watanzania tuamue kiongozi tunayetaka atuongoze.
Hivi wakisema wakianzishe unaweza kutoka na kuwa front au unaongea ukiwa umejificha kwenye keyboard
 
Shida ipo hapo, kila anaye mpinga ni mpigaji, anatumiwa n mabeberu, .............na wapinzani wana capitalize kwa ku reverse hayohayo. Awe anarudi au anaondoka Magufuli kwangu ni kiongozi mbovu tu,hawezi kubalance mambo yake. Mwanasiasa and asoweza kushawishi lazima awe mwanasiasa mbovu.
Siri moja ya kiongozi mzuri ni kujua kuwa huwezi kumfurahisha kila mtu. Magufuli aliamua kwa dhati kuwa lazima nchi isonge mbele regardless ya watu watakaonuna kama wewe. Hatuna muda wa kupoteza kufurahisha watu ni tunapiga kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inasonga mbele.

Wewe endelea kununa watoto wako watakuja kufurahia matunda ya kazi ya serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi imara wa Magufuli.
 
Wewe lipa 15% kwanza utawahi kumaliza deni pia wadogo zako wataweza kupata mikopo ili nao watimize ndoto zao. Acha kuwa na roho mbaya kama mchawi kuna wahitaji wengine pia wanahitaji mkopo lipa mkopo wako ili bodi iweze kuwapa mkopo wengine.

Kwani hapo mwanzo nilikuwa silipi!? Wewe ndio una roho mbaya kwa kupokonya hata kile kidogo tena bila hata kuongeza mshahara kwa miaka mitano. Huyo mdogo atafikaje kupata mkopo wa chuo wakati hata hela ya kula shida. Hebu kuweni na utu nyinyi wanyonyaji msiokuwa na huruma hata chembe.
 
Kwa nyakati hizi kushughulika na Tundu Lissu kiserikali ni kumpa umaarufu asioustahili.

Kwa mfano Tundu Lissu akiitwa polisi leo media zote na wanasheria wote watahamia huko kuripoti habari zake iwe kwa ubaya au uzuri na hizo ndio kiki zenyewe zinazotafutwa.

Tundu Lissu angeachiwa komredi Polepole amdhibiti kisiasa maana ameonyesha kummudu sana.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa wenye akili wangefanya hivyo shauri lakini baadhi ya watumishi kwa kipenda sifa toka kwa No.1 wakifikiri wanamsaidia hawatasikiliza
 
Ishindwe mara ngapi? mwendo kasi mmeshindwa kuuendeleza, mmeua fastjet leo hii waliokuwa wanapanda ndege wamerudi kupanda mabasi, ajira hakuna, marejesho ya mikopo mmeongeza asilimia. Hivi kweli mnamlenga mtanzania au majiangalia wenyewe kwa haya mnayoyafanya. TL amesema kidogo tu mnaanza kutangaza ajira mara mnalipa malimbikizo wa wafanya kazi, hii haina maana nyingine zaidi ya kuwa Lissu ndio mkombozi wa sisi watanzania wanyonge.
Kwaiyo ulitaka wakwepa kodi waendelee kuchekewa tu? Fastjet afuate sheria na taratibu atarudi kufanya biashara mbona precision ana operates vizuri tu.
 
Hivi wakisema wakianzishe unaweza kutoka na kuwa front au unaongea ukiwa umejificha kwenye keyboard
Vita haina hodi ipo siku hata wewe unayetumia huo msemo wa kijinga eti kujificha kwenye keyboard utajutia ubaya wenu, hakuna mabaya hayana mwisho wake ipo siku ushetani wenu utafika mwisho
 
Back
Top Bottom