Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

CCM wameanza Kusaka mbeleko; maji mu shingo!! Mgombea hana uwezo wa kujenga na kujibu hoja.

NEC msitumike, watanzania washakata kauli kwamba CCM basi tena!! Kujaribu kuiokoa ni kujitafutia majanga ambayo watanzania hawataki kufika huko.
 
Kuna watu mnajifanya mko tayari kwa shari kumbe ni waoga mnachochea wenzenu wavunjwe miguu ili mfaidi waulize wapemba walipohamasishwa kuandamana wakati Seif Sharif yuko nje ya nchi aliporudi akapewa cheo na malupurupu bila kujali kuna watu walikufa na wengine walipata vilema vya kuumu
Kwenye haki lazima wafe watu hata Afrika kusini kabla ya kaburu kutolewa walikufa watu
 
Huyu Lissu na Chadema nzima kwanini wagombea wao hawajabandika posters? Kama kuna sehemu umeona poster ya Lisu ikimnadi naomba upost hapa.
Lissu ni big brand haihitaji mabango kama meko
 
Hahahaa kwani ni uwongo jiwe hajajenga uwanja wa ndege Chato kwa kumtumia Mayanga? waambie watulie sindano zizame ipasavyo
Usikwepeshe hoja...ameitwa kwa tamko lake kuwa wakurugenzi wote wameitwa Dodoma kukutana na Rais....yaani wakurugenzi wa Halmashauri ambao ni wasimamizi wa uchaguzi..
 
CCM wameanza Kusaka mbeleko; maji mu shingo!! Mgombea hana uwezo wa kujenga na kujibu hoja.

NEC msitumike, watanzania washakata kauli kwamba CCM basi tena!! Kujaribu kuiokoa ni kujitafutia majanga ambayo watanzania hawataki kufika huko.
Mgombea anaomba usaidizi wa tume due,ule Moto wa Kanda ya ziwa si wa kitoto.
Na Badoo,ni mapema.
 
Nchi imesonga mbele wapi? Nchi umerudi nyuma zaidi deni la Taifa limekuwa maradufu hakuna unafuu wa maisha, wizi wa pesa za umma umezidi zipo wapi trilion 1.5? ipo wapi mikataba ya ununuzi Ndege iliyopelekea CAG kutolewa kafara, utawala huu unatumia pesa za viwanda pesa za maendeleo kuminya demokrasia kufanya mambo yasiyo na tija kwa Taifa kufanya mambo ya hovyo hovyo kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani.
Comrade tatizo lako umejikita kupinga kila kitu, bwawa la umeme, ujenzi wa sgr, kukumesha ujangiri mbungani, kufutilia mbali wenye vyeti feki, watumishi hewa kuondolewa kwenye system ya ajira, kukusanya kodi kikamilifu, ujenzi wa vituo vya afya, ujenzi wa flyover, ununuzi wa vivuko ni maendeleo yasiyo na tija?
 
Ila jamaa anaropoka aisee hana breki , lolote linalokuja kichwani anaongea tu bila kudigest.
Network kichwani ilishavurugwa na hiyo mirindimo ya machine gun. Haiwezi tengenezeka. Kamtukana hadi katibu mkuu wa chama chake na hataki kumuona kwenye kampeni zake. Hata Mwamba kaishaonja joto la jiwe toka kwa huyu mtu. Kaitukana hata NEC iliyomteua kuwa mgombea na kuitishia kuifumua mara tu baada ya 28 Oktoba.
 
Ifate Sheria na isiwe kiraka Cha uvunjifu wa amani na kuwanyima haki wananchi kuwachagua wawakilishi wao wawatakao na sio kuwachagulia wawawikilishi.
Comrade wapi tume imetuchagulia wawakilishi?
 
Kazi gani watumishi wa umma wana miaka mitano bila nyongeza za mishahara?
Mapolisi ndo Wana hasira Sana na ccm wanufaika ni mabosi zao chance ya kugeukwa Ni kubwa,kule Robert Amsterdam anafile kesi direct the Hague,hapa ndo stoni amechanganyikiwa kabisa mbili moja haikai achague the Hague au Chato.Wakurugenzi tunaishi nao mitaani tunasali nao wakivuruga tu uchaguzi Kama wananchi tunayo haki ya kuwadhibu.
 
Wamemuita wenyewe, WASIMKIMBIE
Ataanza na namna NEC ilivyopotezea mapingamizi yake dhidi ya John Magufuli na Haruna Lipumba, atawaambia namna walivyomteua DEO MWANYIKA Njombe Mjini..atakuja kwenye suala la engua engua na atamalizia na namna John Magufuli anavyotoa rushwa ya uchaguzi kwenye mambo ya barabara


Msimkimbie tafadhali
Na hatumi mwalilishi ng'o
NECCCM haikupotezea mapingamizi ya Lisu bali NECCCM Tumeccm ilifanya maamuzi haramu ya kishetani, ukweli kama ingekuwa ni Tume huru ya uchaguzi ingetoa maamuzi sahihi kabsa, CCM inaihujumu chadema waziwazi kupitia NECCCM chombo binafsi cha mtukufu mwenyekiti wa CCM kinachofanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM badala ya katiba na Sheria
 
Parasatic Mind
Ni ngumu sana kujibu hoja za Tundu lissu,kwa ufupi jamaa ana akili

Wamuulize Ana Makinda akiwa spika au Samia Suluhi wakati wa Bunge la katiba

Ni dhahiri Tundu lissu hakukariri darasani bali alielewa na ana exposure kubwa

Suala ni kujibu hoja za Kiwanja chato,Pesa za kununua ndege nani anazikagua na zilijadiliwa bungeni?

Kwanini Profesa Assad aliachishwa uCAG

Story hizo za NEC wanasababisha Tundu lissu kuwa na wafuasi wengi zaidi

CCM inasubiri mbeleko ya NEC na Wakurugenzi

Tatizo watu wana maisha magumu

Fujo na vurugu na Maandamano husababishwa na ugumu wa maisha

Venezuela huko tatizo watu maisha magumu

NEC inajichimbia shimo zaidi

Ongezeni mishahara na wekeni uhuru wa habari watu watawapenda
Eti NEC inajichimbia shimo!!!! Duh....hujui kuwa Chadema ndiyo inajichimbia shimo?! Lissu ni laghai wa kisiasa...anatumia au kuzusha uongo kwa Nia ya kuleta mtafaruku...
 
Mbona Magu... alipokuwa Singida...alitamka kumpatia nafasi Lissu serikalini ili aache kigombea....ana uhakika gani kama atakuwa Rais tena...maana uchaguzi bado...hii ni sawa na kujitangazia ushindi kabla ya uchaguzi....Tumeona Kigoma akiagiiza Waziri atoe pesa za ujenzi kipindi cha kampeni...hii si ni sawa rushwa.... Magu nae alipaswa aitwe.
 
Back
Top Bottom