Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini,mnatafutana kwatochi ,Kama Mambo yako sawa.Akili fupi hizi za kusomesha namba. Nenda kasutane na mashosti kibarazani hao ndio saizi yako.
Kwenye haki lazima wafe watu hata Afrika kusini kabla ya kaburu kutolewa walikufa watuKuna watu mnajifanya mko tayari kwa shari kumbe ni waoga mnachochea wenzenu wavunjwe miguu ili mfaidi waulize wapemba walipohamasishwa kuandamana wakati Seif Sharif yuko nje ya nchi aliporudi akapewa cheo na malupurupu bila kujali kuna watu walikufa na wengine walipata vilema vya kuumu
Lissu ni big brand haihitaji mabango kama mekoHuyu Lissu na Chadema nzima kwanini wagombea wao hawajabandika posters? Kama kuna sehemu umeona poster ya Lisu ikimnadi naomba upost hapa.
Usikwepeshe hoja...ameitwa kwa tamko lake kuwa wakurugenzi wote wameitwa Dodoma kukutana na Rais....yaani wakurugenzi wa Halmashauri ambao ni wasimamizi wa uchaguzi..Hahahaa kwani ni uwongo jiwe hajajenga uwanja wa ndege Chato kwa kumtumia Mayanga? waambie watulie sindano zizame ipasavyo
CCM wameanza Kusaka mbeleko; maji mu shingo!! Mgombea hana uwezo wa kujenga na kujibu hoja.
NEC msitumike, watanzania washakata kauli kwamba CCM basi tena!! Kujaribu kuiokoa ni kujitafutia majanga ambayo watanzania hawataki kufika huko.
Na Badoo,ni mapema.Mgombea anaomba usaidizi wa tume due,ule Moto wa Kanda ya ziwa si wa kitoto.
Comrade tatizo lako umejikita kupinga kila kitu, bwawa la umeme, ujenzi wa sgr, kukumesha ujangiri mbungani, kufutilia mbali wenye vyeti feki, watumishi hewa kuondolewa kwenye system ya ajira, kukusanya kodi kikamilifu, ujenzi wa vituo vya afya, ujenzi wa flyover, ununuzi wa vivuko ni maendeleo yasiyo na tija?Nchi imesonga mbele wapi? Nchi umerudi nyuma zaidi deni la Taifa limekuwa maradufu hakuna unafuu wa maisha, wizi wa pesa za umma umezidi zipo wapi trilion 1.5? ipo wapi mikataba ya ununuzi Ndege iliyopelekea CAG kutolewa kafara, utawala huu unatumia pesa za viwanda pesa za maendeleo kuminya demokrasia kufanya mambo yasiyo na tija kwa Taifa kufanya mambo ya hovyo hovyo kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani.
Network kichwani ilishavurugwa na hiyo mirindimo ya machine gun. Haiwezi tengenezeka. Kamtukana hadi katibu mkuu wa chama chake na hataki kumuona kwenye kampeni zake. Hata Mwamba kaishaonja joto la jiwe toka kwa huyu mtu. Kaitukana hata NEC iliyomteua kuwa mgombea na kuitishia kuifumua mara tu baada ya 28 Oktoba.Ila jamaa anaropoka aisee hana breki , lolote linalokuja kichwani anaongea tu bila kudigest.
Mmmh haya tusubiri...huyu Lissu wenu amewaangusha Sana...time will tell...Lisu anareasoning akurupuki
Liongo hiloWamebandika hio hapo mkuu.View attachment 1582630
Tume haifanyi kazi kwa matakwa yangu bali kwa mujibu wa sheria.Tumeccm NECCCM si tume huru bakia nayo huko ifanye kazi kwa matakwa yako
" kudhibiti kisiasa " uwe unaelewa bwashee!Kumbe NEC, Police na Serikali wanaweza kuamua kumwachia polepole kazi ya kumdhibiti. Hivi nyie watu hamna hata aibu kwa ushenzi wenu huu!
Comrade wapi tume imetuchagulia wawakilishi?Ifate Sheria na isiwe kiraka Cha uvunjifu wa amani na kuwanyima haki wananchi kuwachagua wawakilishi wao wawatakao na sio kuwachagulia wawawikilishi.
Mapolisi ndo Wana hasira Sana na ccm wanufaika ni mabosi zao chance ya kugeukwa Ni kubwa,kule Robert Amsterdam anafile kesi direct the Hague,hapa ndo stoni amechanganyikiwa kabisa mbili moja haikai achague the Hague au Chato.Wakurugenzi tunaishi nao mitaani tunasali nao wakivuruga tu uchaguzi Kama wananchi tunayo haki ya kuwadhibu.Kazi gani watumishi wa umma wana miaka mitano bila nyongeza za mishahara?
NECCCM haikupotezea mapingamizi ya Lisu bali NECCCM Tumeccm ilifanya maamuzi haramu ya kishetani, ukweli kama ingekuwa ni Tume huru ya uchaguzi ingetoa maamuzi sahihi kabsa, CCM inaihujumu chadema waziwazi kupitia NECCCM chombo binafsi cha mtukufu mwenyekiti wa CCM kinachofanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM badala ya katiba na SheriaWamemuita wenyewe, WASIMKIMBIE
Ataanza na namna NEC ilivyopotezea mapingamizi yake dhidi ya John Magufuli na Haruna Lipumba, atawaambia namna walivyomteua DEO MWANYIKA Njombe Mjini..atakuja kwenye suala la engua engua na atamalizia na namna John Magufuli anavyotoa rushwa ya uchaguzi kwenye mambo ya barabara
Msimkimbie tafadhali
Na hatumi mwalilishi ng'o
Eti NEC inajichimbia shimo!!!! Duh....hujui kuwa Chadema ndiyo inajichimbia shimo?! Lissu ni laghai wa kisiasa...anatumia au kuzusha uongo kwa Nia ya kuleta mtafaruku...Parasatic Mind
Ni ngumu sana kujibu hoja za Tundu lissu,kwa ufupi jamaa ana akili
Wamuulize Ana Makinda akiwa spika au Samia Suluhi wakati wa Bunge la katiba
Ni dhahiri Tundu lissu hakukariri darasani bali alielewa na ana exposure kubwa
Suala ni kujibu hoja za Kiwanja chato,Pesa za kununua ndege nani anazikagua na zilijadiliwa bungeni?
Kwanini Profesa Assad aliachishwa uCAG
Story hizo za NEC wanasababisha Tundu lissu kuwa na wafuasi wengi zaidi
CCM inasubiri mbeleko ya NEC na Wakurugenzi
Tatizo watu wana maisha magumu
Fujo na vurugu na Maandamano husababishwa na ugumu wa maisha
Venezuela huko tatizo watu maisha magumu
NEC inajichimbia shimo zaidi
Ongezeni mishahara na wekeni uhuru wa habari watu watawapenda
Kinondoni Hadi bint akauliwa sababu ya tume,rejea chaguzi za kihuni za marudio,rejea chaguzi za kihuni za serikali za mitaa.Comrade wapi tume imetuchagulia wawakilishi?