Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.

Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa

Kwa maelezo ya mkurugenzi wa tume ,wajiandae kubatizwa kwelikweli na mgombea wa chadema ,
mwisho tume ijue pia kwenye majukwaa Kuna Mambo mengi ya kisiasa so vipo vitu ambavyo hakuna umuhimu kuviingilia maana Kila chama kina mipango yake ya ushindi na pale mgombea mmoja wa chama flani aonapo moja ya mbinu ya chama kingine ni kumfanyia hujuma lazima atoe mapigo na ni kazi ya chama kilichopewa mapigo kujibu mapigo ,hiyo ndo sayansi ya siasa, Sasa tume ikiingilia ugonvi mwingine ambao wawahusu wagombea na vyama vyao wanakua wanajichanganya bila sababu za msingi.
tuhuma zipo na sio kwamba ukituhumiwa Basi una kosa ,ni kujibu tuhuma na kumtoa mpizani wako kwenye reli
 
Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.

Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa

Aandae na wito kwa chama mbogamboga kwani ubaguzi na ukosefu wa haki hata ambao inawezekana wamechochea hatua hiyo wanajua madhara take.
 
..Je, ccm ikishinda, halafu tume isiwatangaze mtamuachia MUNGU?
Leo umekariri huo msemo? Tume imemtuhumu nini? Weka hiyo barua basi tuone mbivu wacha majungu?
 
Lissu akipaishwa si ndio wapinzani mnakua mmelamba bingo mbona mnalialia na kuweweseka sana hapa jukwaani??
Nyinyi ndiyo mnaweweseka mna majeshi mna vyombo vyote vya dola NECCCM Tumeccm na bado mpo busy kumhujumu Lisu
 
Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.

Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa
Nmeshangaaa kuona Mkurugenzi wa uchaguzi "anatoa matamushi kama nae ni mgombea anaeshindana na Lissu " hii imenishangaza sana..mtu hata fantasy yake imeonyesha mbele atapendelea upande fulani "kwa nchi za wazungu huyu alitakiwa awe nje ya ofisi mana yuko biased!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi ndiyo mnaweweseka mna majeshi mna vyombo vyote vya dola NECCCM Tumeccm na bado mpo busy kumhujumu Lisu
Lissu hahujumiwi ni yeye tu na kidomodomo chake tu kuropoka ovyo ndio kuna mponza.
 
Hata kwa muonekano tu huyo jamaa anaonekana ni mpumbavu na muoga...
Mahera is an idiot and spayed man, anasema wao ni tume huru wanafanya kazi kwa uhuru .

Atoe sababu zilizowafanya kuwaengua wapinzani
 
Nyie ndiyo mnalia lia kutumia NECCCM Tumeccm kuihujumu chadema ni mojawapo ya lia lia
Chadema futeni sheria uchaguzi utafanyika bila shida ila mkileta uhuni ambao mmekua mkiufanya lazima muitwe kuhojiwa.
 
Wacha uongo, kuna mengi tu ya kichochezo aliyosema, aende tu akajibu, sheria zipo ambazo tumejiwekea kama nchi huru. BTW akumbuke ingawa tupo kwenye uchaguzi Rais yupo na power zile zile aache kutingisha kiberiti.
Ni kweli Raisi yupo na power zile zile lakini kwa sasa naye ni mgombea na kanuni zinmbana vile vile.
TUme ina hiari ya kufanya itakalo hata kumfuta katika orodha ya wagombea na maisha yataendelea tu.Mbona uchaguzi wa mitaa uliharibika na bado maisha yakaendelea?
 
Jiongeze chief usipende kutafuniwa.
Nimejiongeza nimeshindwa mkuu ,na ndo maana nikaomba msahada ,kwani yapo maneno waweza yatumia kwa kufuata mkumbo ila mwisho ukakuta unae litumia neno husika bado linakuhusu , na Yule unaemtumia ujumbe halimhusu,au wote lawahusu, naomba maana ya hilo neno KUROPOKA
 
Ni kweli Raisi yupo na power zile zile lakini kwa sasa naye ni mgombea na kanuni zinmbana vile vile.
TUme ina hiari ya kufanya itakalo hata kumfuta katika orodha ya wagombea na maisha yataendelea tu.Mbona uchaguzi wa mitaa uliharibika na bado maisha yakaendelea?
Kwa sababu Chadema walitia mpira kwapani.
 
Back
Top Bottom