OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Watu wanapewa vyeo vikubwa akili hamna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.
Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa
Mayanga ndiyo kitu gani? Yule wa National Housing alitumbuliwa kwa conflict of interest😎😎😎Hahahaa kwani ni uwongo jiwe hajajenga uwanja wa ndege Chato kwa kumtumia Mayanga? waambie watulie sindano zizame ipasavyo
Lisu hajaropoka chochote wala hana kidomodomo bali CCM mmebambikia uropokaji feki ili mpate kumbambikia kesi za kijinga jinga kama kawaida yenu, uropokaji upo huko CCM mnapowaita wapinzani misukule na kila jambo kusema wametumwa na mabeberu, CCM ni ruksa kuropoka ujinga lakini kwa upinzani ni kosa kujibu ujinga wa CCM, hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Iddy Amin dada leo hii wapo wapi?Lissu hahujumiwi ni yeye tu na kidomodomo chake tu kuropoka ovyo ndio kuna mponza.
Ni ndivyo itakavyokuwa hata kwa hili na kama ilivyokuwa kwa Jecha.Kwa sababu Chadema walitia mpira kwapani.
Sio kwamba haogopi, yeye anafahamu fika baada ya uchaguzi anakimbilia kwa wale wanaomkung'uta.Mbona mkwara wa kijinga huo ,LISU hawaogopi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mpumbavu mmoja ni wewe Nani amekwambia anachokifanya makufuli ndio sheria? Yeye hamtaji lisu kwasababu shetani hawezi kutaja jina la Yeau sio kwamba hapendi ila anajua atadondoka na kufa palepale by the way hiyo sio sheriaAliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Hiyo avatar ya movie ya jeshi uliyoweka isikupe kiburi utatolewa upepoUvumilivu gan pumbavu mkubwa wewe
Inasemwa kuwa Tundu Lissu alikoswakoswa na wahuni wasofahamu kulenga shabaha.
Mimi sielewi chochote.
Ila kama una taarifa yoyote basi mtafute kamanda Muroto.
Haya ameyataka mwenyewe! Ngoja tusubiri tena wamemlea muda mrefu sana!
Why shouldn't I ...do all the members in this forum know each and every word you know?You do not deserve to be in this forum if you do not know that.
kelele za kwenye keyboard
Ni ndivyo itakavyokuwa hata kwa hili na kama ilivyokuwa kwa Jecha.
LAKINI na narudia tena LAKINI haitasaidia kitu na impact yake itakuwa mbaya kwa uchaguzi unaofuta (Just like stopping the watch to save time)
Itabidi aende na kiti chake na mike na plastic ya kutandika juu ya meza atakayokaa. Ajitahidi hata maji yake mwenyewe asibebe.
Sasa kama uwanja wa Chato umejengwa kwa kauli ya Magufuli na bunge halikuona Budget ya mradi huo amtaje nani kajenga? Tusidie majibu tuendelee na hoja nyingine.Aliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Misukule kwenye siasa hata humu JF mnatumia sana hili neno.
Kuna kauli kadhaa za Tundu Lissu ambazo wao NEC wanazo wataelezana hukohuko Dodoma.