Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa



Comment ziwe fupi fupi tafadharini....
Swali langu la kwanza: Hivi ni kweli Lisu alisema asipotangazwa basi watanzania waingie barabarani? au alisema akishinda na asitanganzwe ndipo ataingiza watu barabarani? hizi kauli mbili tofauti na zina maana mbili tofauti.

Swali langu la pili: Mkurugenzi anapata wapi Confidence ya kumpiga mkwara Mgombea mwenye uelekeo wa kushinda urais ndani ya siku chache zijazo? hii ni kutokana na hali halisi ya mikutano ya wagombea mpaka sasa

This Guy Lisu ama kweli muovu kabisa. Ngoja tuone, he will end up kama wengine waliojaribu kuharibu amani yetu. Na kikubwa atabaki peke yake, hakuna mtanzania mwenye viashiria vya uvunjifu wa amani
 
Hahahaa kwani ni uwongo jiwe hajajenga uwanja wa ndege Chato kwa kumtumia Mayanga? waambie watulie sindano zizame ipasavyo
Mayanga ndiyo kitu gani? Yule wa National Housing alitumbuliwa kwa conflict of interest😎😎😎
 
Lissu hahujumiwi ni yeye tu na kidomodomo chake tu kuropoka ovyo ndio kuna mponza.
Lisu hajaropoka chochote wala hana kidomodomo bali CCM mmebambikia uropokaji feki ili mpate kumbambikia kesi za kijinga jinga kama kawaida yenu, uropokaji upo huko CCM mnapowaita wapinzani misukule na kila jambo kusema wametumwa na mabeberu, CCM ni ruksa kuropoka ujinga lakini kwa upinzani ni kosa kujibu ujinga wa CCM, hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Iddy Amin dada leo hii wapo wapi?
 
Kwa sababu Chadema walitia mpira kwapani.
Ni ndivyo itakavyokuwa hata kwa hili na kama ilivyokuwa kwa Jecha.
LAKINI na narudia tena LAKINI haitasaidia kitu na impact yake itakuwa mbaya kwa uchaguzi unaofuta (Just like stopping the watch to save time)
 
Mbona mkwara wa kijinga huo ,LISU hawaogopi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sio kwamba haogopi, yeye anafahamu fika baada ya uchaguzi anakimbilia kwa wale wanaomkung'uta.
 
Aliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Mpumbavu mmoja ni wewe Nani amekwambia anachokifanya makufuli ndio sheria? Yeye hamtaji lisu kwasababu shetani hawezi kutaja jina la Yeau sio kwamba hapendi ila anajua atadondoka na kufa palepale by the way hiyo sio sheria
 
Msije mkamuwekea sumu kwenye mic au popote pale aingie salama atoke salama vinginevyo msije mkawalaumu watanzania. Mjue kabisa ccm haipendwi mnalazimisha.
 
Inasemwa kuwa Tundu Lissu alikoswakoswa na wahuni wasofahamu kulenga shabaha.

Mimi sielewi chochote.

Ila kama una taarifa yoyote basi mtafute kamanda Muroto.

..kaka risasi 16 unaita kukoswakoswa?!

..ccm kwa vijembe mmeshindikana.
 
Itabidi aende na kiti chake na mike na plastic ya kutandika juu ya meza atakayokaa. Ajitahidi hata maji yake mwenyewe asibebe.
 
You do not deserve to be in this forum if you do not know that.
Why shouldn't I ...do all the members in this forum know each and every word you know?
 
Ni ndivyo itakavyokuwa hata kwa hili na kama ilivyokuwa kwa Jecha.
LAKINI na narudia tena LAKINI haitasaidia kitu na impact yake itakuwa mbaya kwa uchaguzi unaofuta (Just like stopping the watch to save time)


Huwezi kuacha kufuata taratibu ambazo vyama vyote vilikubaliana. Tena naona Tume wamechelewa.
 
Itabidi aende na kiti chake na mike na plastic ya kutandika juu ya meza atakayokaa. Ajitahidi hata maji yake mwenyewe asibebe.

Hakuna cha maadili , wao wenyewe Tume hawana maadili , au waanze kuwaita wagombea wa CCM kwanza. Mpaka kieleweke , CCM itokomee gizani
 
Aliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Sasa kama uwanja wa Chato umejengwa kwa kauli ya Magufuli na bunge halikuona Budget ya mradi huo amtaje nani kajenga? Tusidie majibu tuendelee na hoja nyingine.
 
Kuna Maswali mawili hapa
1. Je Lissu ameshapewa barua ya kuitwa katika kamati hiyo ya maadili?
2Tume imejiridhishaje kuwa Lissu amefanya makosa ya kukiuka kanuni taratibu za uchaguzi?

Nimeuliza maswali haya Kwasababu Namfahamu Lissu katika mambo yanayohusu sheria. Harakati za Lisu katika hilo linaweza kumuongeza umaarufu maradufu endapo atapangua hoja zote
 
Misukule kwenye siasa hata humu JF mnatumia sana hili neno.

Kuna kauli kadhaa za Tundu Lissu ambazo wao NEC wanazo wataelezana hukohuko Dodoma.

..sio rahisi nec kutenda haki, haswa katibu wake ambaye anajulikana ni kada wa ccm.

..haki inatakiwa itendeke, lakini zaidi inatakiwa ionekane inatendeka.
 
Back
Top Bottom