Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

Mada iko vizuri ila ina misamiati migumu kiasi.
Nguzo zilibubujika. Huu misamiati ni kiboko. Tufafanulie kidogo.
 
Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.

Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.

Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.
Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakukuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.
Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints.
Hayanihusu.

Video hii hapa nguzo imeanguka
View attachment 2693787
Sawa mfanyabiashara wa nguzo huko mufindi tumekuelewa,,hiyo milingoti mtakuja kupikia chakula siku moja teknolojia inakua kasi sana,,jipangeni upya hamna tofauti na waarabu muda wowote mafuta watayapigia mswaki.
 
Kwa akili yako tuendelee kukata miti kujenga nguzo? FYI Hizo nguzo si nzito hivyo kwavile Zina uwazi (hollow) katikati nguzo ya miti ni nzito zaidi!
Tuwape DP World wafanye hii project, sisi huwa kawaida yetu kushindwa. Hii technology ya nguzo za zege, tumekwama
 
Kiwanda ninacho kifahamu mimi kinacho tengeneza hizi nguzo huwa wanaweka nondi na wiremesh sasa sijui hapo kuna kuna mtu kati kaingilia kati.
Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.

Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.

Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.

Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.

Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints. Hayanihusu.

Video hii hapa nguzo imeanguka.

View attachment 2693787
 
Sasa hiyo 9m huoni ina 600kg, nimedanganya wapi. Kumbuka nilisoma moja ya nguzo zilizokuwa zimelazwa chini karibu na makazi yangu.
nini tofauti ya weight na load? nipe ufafanuzi wa hili kwanza ndo uweze kuelewa pole yenyewe haizidi 400 kg! Na pia leta weight ya hizo wooden poles! Tuone kama unachoongea ni kweli! Na kumbuka hata poles za miti hubeba same load!
 
Hivi tanesco wana akili za ukichaa na upumbavu kiasi hiki, kuna mpumbavu kajipa tenda ili aue watu Kwa kafara za kusudi kiasi hiki seriously?
 
Hivi tanesco wana akili za ukichaa na upumbavu kiasi hiki, kuna mpumbavu kajipa tenda ili aue watu Kwa kafara za kusudi kiasi hiki seriously?
 
Hivi tanesco wana akili za ukichaa na upumbavu kiasi hiki, kuna mpumbavu kajipa tenda ili aue watu Kwa kafara za kusudi kiasi hiki seriously?
 
Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.

Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.

Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.

Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.

Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints. Hayanihusu.

Video hii hapa nguzo imeanguka.

Ila jamani hii nchi sijui tulikosea nini hadi kupewa adhabu kubwa hivi ya kuwa WATU WABABAISHAJI NA WAJINGA KUPITA KIASI.

CHA KUSIKITISHA ZAIDI ISSUE KAMA HII INAWEZA IKAPITA TU NA WAHUSIKA WAKAENDELEA KUTEMBEA KWA MIKOGO.

Na hapa ndipo ninapomkumbuka Magufuli maana leo hii kuanzia Waziri na watendaji wengine wangepigwa chini ndipo mambo mengine yaendelee.

Katika mazuri ninayomkumbukia JPM ni kutokuwaonea aibu wazembe na wabadhilifu
 
Back
Top Bottom