Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

Sijapenda kwa kweli, rais anaongea halafu hadhira wanapishana na sahani za ubwabwa nyuma. Kibaya zaidi hadi sauti za mgongano wa sahani zinasikika kabisa.View attachment 3157160
Screenshot_20241120-215312_X.jpg
Screenshot_20241120-215312_X.jpg
Screenshot_20241120-215227_X.jpg
Screenshot_20241120-215227_X.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20241120-215312_X.jpg
    Screenshot_20241120-215312_X.jpg
    337.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241120-215305_X.jpg
    Screenshot_20241120-215305_X.jpg
    340.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241120-215150_X.jpg
    Screenshot_20241120-215150_X.jpg
    334 KB · Views: 1
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,

Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,

Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!

View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg

Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini

Britanicca

Hao viongozi wengine waliohudhuria walivyokuwa wanaongea hao wengine walikaa chini na kumsikiliza?
Kwahy hilo tukio limetokea kwa mama yenu tuu?
 
Lakini kuna mtu alisema humu kwamba kaushangaza ulimwengu kwa hotuba yake na mwingine alienda mbali zaidi kusema kwamba ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa.Sasa hapa mbona unatueleza tofauti kiongozi

nimefurahi tu kuwa forms za kugombea nafasi ya Urais ndani ya CCM zitakuwa zaidi ya Moja
hakika Mungu ni Mwema.
Ngoja sasa na sisi tuwe busy kupakua chakula
 
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,

Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,

Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!

View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg

Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini

Britanicca

Sio kweli, hao wanaopita ni kama wahudumu wa mkutano tu.
Wahusika wa G20 wamemsikiliza mwanzo mwisho
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu atapoteza muda wake kumsikia kiongozi kutoka bara la kiza,ambaye anapata misaada ya ujenzi wa vyoo na wakati huo huo anatumia 500b kununua magari ya kifahari na 200b kuwalipa Wabunge wa vitu maalum.

Mabeberu huwa wanajua kuwa nyoosha viongozi wa Afrika,hasa wakiwa kwenye mataifa Yao kwamba wewe si chochote si lolote umungu mtu ni uko kwa wajinga na wapumbavu.
 
nimefurahi tu kuwa forms za kugombea nafasi ya Urais ndani ya CCM zitakuwa zaidi ya Moja
hakika Mungu ni Mwema.
Ngoja sasa na sisi tuwe busy kupakua chakula
Hao watu hawaaminiki broo.
Wanaweza kutengeneza nyingi halafu wakaiba zote kasoro moja tu; au wanaweza kupewa fomu wakajaza halafu wakaenguliwa bila sababu za msingi, mmoja tu akapita "bila kupingwa".
 
Si mnapenda kujikomba nchi hii diplomasia na ushawishi kwenye mikutano mikubwa aliweza Nyerere na Mkapa

The rest hamna kitu

Kikwete angalu alijitahidi kwenye msiba wa Mandela

Nyerere alikuwa akihutubia UN wazungu wanasimama na kumpigia makofi kabisa

Mkapa alikuwa na hotuba zilizonyooka alikuwa amepikwa kweli kuwa Rais wa nchi.

Mwinyi, Magufuli, Samia Hawa kwenye hotuba hamna kitu

Hotuba inahitaji ipitiwe na ichakatwe na wataalamu sio unaamka tu una hasira na mmeo au mkeo unaanza kuongea mambo ambayo hayapo hapo ndio tunapofeli hakuna mtu atakusikiliza!!
Nampendekeza Joram Nkumbi... Ana dalili za kipaji na nyota ya uongozi... zaidi sana bado kijana...UCHAWA? hilo sina hakika!.
 
Lakini kuna mtu alisema humu kwamba kaushangaza ulimwengu kwa hotuba yake na mwingine alienda mbali zaidi kusema kwamba ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa.Sasa hapa mbona unatueleza tofauti kiongozi
Vijana wa yuviccmwama dunia yao ambayo mwenyekiti anashangaza dunia kila uchwao
 
Si mnapenda kujikomba nchi hii diplomasia na ushawishi kwenye mikutano mikubwa aliweza Nyerere na Mkapa

The rest hamna kitu

Kikwete angalu alijitahidi kwenye msiba wa Mandela

Nyerere alikuwa akihutubia UN wazungu wanasimama na kumpigia makofi kabisa

Mkapa alikuwa na hotuba zilizonyooka alikuwa amepikwa kweli kuwa Rais wa nchi.

Mwinyi, Magufuli, Samia Hawa kwenye hotuba hamna kitu

Hotuba inahitaji ipitiwe na ichakatwe na wataalamu sio unaamka tu una hasira na mmeo au mkeo unaanza kuongea mambo ambayo hayapo hapo ndio tunapofeli hakuna mtu atakusikiliza!!
Wengine ni nyani tu hawa.
 
Back
Top Bottom