Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Sijapenda kwa kweli, rais anaongea halafu hadhira wanapishana na sahani za ubwabwa nyuma. Kibaya zaidi hadi sauti za mgongano wa sahani zinasikika kabisa.View attachment 3157160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Lakini kuna mtu alisema humu kwamba kaushangaza ulimwengu kwa hotuba yake na mwingine alienda mbali zaidi kusema kwamba ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa.Sasa hapa mbona unatueleza tofauti kiongozi
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
NYerere na Mkapa walituheshimisha sana Kimataifa.Huyo hana jipya pia hana influence yoyote iwe nchini au nje ya nchi. Hapa bongo zaidi ya kusifiwa na machawa wala hakubaliki na wananchi sembuse kwenye nchi za wanaojitambua
Hili la form kuwa nyingi muhimu sana si ndio tunasema ni democracy.Ngoja tuone 2025 sio mbali sananimefurahi tu kuwa forms za kugombea nafasi ya Urais ndani ya CCM zitakuwa zaidi ya Moja
hakika Mungu ni Mwema.
Ngoja sasa na sisi tuwe busy kupakua chakula
Wataalamu kwa sasa ni tia maji kwa sababu ya kuzingatia vigezo vya hovyo kwenye teuzi, yaani uchawa na unduguHotuba inahitaji ipitiwe na ichakatwe na wataalamu sio unaamka tu una hasira na mmeo au mkeo unaanza kuongea mambo ambayo hayapo hapo ndio tunapofeli hakuna mtu atakusikiliza!!
Hao watu hawaaminiki broo.nimefurahi tu kuwa forms za kugombea nafasi ya Urais ndani ya CCM zitakuwa zaidi ya Moja
hakika Mungu ni Mwema.
Ngoja sasa na sisi tuwe busy kupakua chakula
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Nampendekeza Joram Nkumbi... Ana dalili za kipaji na nyota ya uongozi... zaidi sana bado kijana...UCHAWA? hilo sina hakika!.Si mnapenda kujikomba nchi hii diplomasia na ushawishi kwenye mikutano mikubwa aliweza Nyerere na Mkapa
The rest hamna kitu
Kikwete angalu alijitahidi kwenye msiba wa Mandela
Nyerere alikuwa akihutubia UN wazungu wanasimama na kumpigia makofi kabisa
Mkapa alikuwa na hotuba zilizonyooka alikuwa amepikwa kweli kuwa Rais wa nchi.
Mwinyi, Magufuli, Samia Hawa kwenye hotuba hamna kitu
Hotuba inahitaji ipitiwe na ichakatwe na wataalamu sio unaamka tu una hasira na mmeo au mkeo unaanza kuongea mambo ambayo hayapo hapo ndio tunapofeli hakuna mtu atakusikiliza!!
Cc: Tlaatlaah Lucas MwashambwaHuyo hana jipya pia hana influence yoyote iwe nchini au nje ya nchi. Hapa bongo zaidi ya kusifiwa na machawa wala hakubaliki na wananchi sembuse kwenye nchi za wanaojitambua
Vijana wa yuviccmwama dunia yao ambayo mwenyekiti anashangaza dunia kila uchwaoLakini kuna mtu alisema humu kwamba kaushangaza ulimwengu kwa hotuba yake na mwingine alienda mbali zaidi kusema kwamba ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa.Sasa hapa mbona unatueleza tofauti kiongozi
Wengine ni nyani tu hawa.Si mnapenda kujikomba nchi hii diplomasia na ushawishi kwenye mikutano mikubwa aliweza Nyerere na Mkapa
The rest hamna kitu
Kikwete angalu alijitahidi kwenye msiba wa Mandela
Nyerere alikuwa akihutubia UN wazungu wanasimama na kumpigia makofi kabisa
Mkapa alikuwa na hotuba zilizonyooka alikuwa amepikwa kweli kuwa Rais wa nchi.
Mwinyi, Magufuli, Samia Hawa kwenye hotuba hamna kitu
Hotuba inahitaji ipitiwe na ichakatwe na wataalamu sio unaamka tu una hasira na mmeo au mkeo unaanza kuongea mambo ambayo hayapo hapo ndio tunapofeli hakuna mtu atakusikiliza!!
Alikuwa anatania mkuu.ulifikiri ni serious,hayo mambo hayapo.Lakini kuna mtu alisema humu kwamba kaushangaza ulimwengu kwa hotuba yake na mwingine alienda mbali zaidi kusema kwamba ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa.Sasa hapa mbona unatueleza tofauti kiongozi