Ni kosa kubwa sana kwa askari kunyang'anywa silaha yake

Kwa hiyo polisi unanyang'anywa risasi na mtu kama hamza alafu unasingizia ambush?
 
Yani askari unavamiwa na mtu kama hamza alafu unasingiza ambush?
 
Hamza anatetewa na chama chake, Chama Cha Magaidi
 

hizi tafsiri zako umetoa wapi???

mtu ataangalia x asiwe kahaba,ila anawezafanya ukahaba kwa sababu hiyo,au sio??
kama mtandao upo utapatikana tu,wewe unajua kinachoendelea kwani??au unahoji tu kwa misingi ya ujuaji???
 
Rwanda askari kuanzia trafik wako standby muda wote tena hawana viti vya kukaa wala vibanda na hata askari wa doria wako standby muda wote, tanzania askari mlinzi wa benki anakaa kwenye kajumba yuko ndani anaagiza supu anakula kwa kurelax anaenda kunawa huku silaha kaiacha kwenye kijumba, trafiki ndio usisrme hayo matumbo utafhani mafurushi ya mavi, wanaweka na viti kabisa ni kujiachia na kujamba hovyo ukakamavu wa depo ndio uliishia kule kule kuna mambo inabidi yabadilike askari unaweza kiti unakaa kabisa hua nashangaa sana
 
Sio kweli, kila mahali pa kazi watu wanafanya risks analysis na namna ya kukabilana na risks kama zikitokea (risks management). Askari mwenye silaha ni mambo gani anapaswa kuyazingatia kuhusu yeye mwenyewe, silaha yake na watu wanaomzunguuka? Tahadhari gani walichukua kujilinda, kuilinda silaha na kuwalinda wanaomzunguuka?
 
unazungumzia mavuno ama askari,maana wenzako wanalaumu kwanini walimuua,au hamza alianguka kifafa mwenyewe???
Dogo soma nilichokiandika unaelewa nini nianaposema Hamza alitaka apate mavuno mengi
 
rwanda ina eneo kubwa kiasi,watu,idadi ya askari,mitaa,na idadi ya watu wanaopewa huduma??

haya mambo msijadili kwa mkumbo mkumbo tu.
 
ukiambiwa kazi ya polisi ni ngumu unabeza.

hawa ndio polisi mnaolalamika hawana customercare nzuri maana wana stress za maisha wakiwakaripia msiwasogelee.

wakiwatendea jema mashetani wanatumia mwanya huo kuwaua.
 
Swala la kutumia SILAHA NI SWALA LA "TIMING" Tusiwe wepesi kulaumu eti askari wazembe. Ukishafanyiwa TIMING hata ungekuwa na kombora halitakuwa na faida kwako!
kama ni swala la "Timing,, asa Depo miezi6 wanaenda kufanya nini!?
 
Askari wetu ukiwatuma waende kusimamia usalama kwenye viwanja vya mpira wanashindwa kumuona aliyerusha chupa ya mkojo uwanjani, maana na wao wanaangalia mpira kama wengine tu.
 
nakumbuka siku Moja nilimtembelea rafiki yangu ambaye ni Askari kituo chake cha kazi.
ilikua mpakani kwenye check point kati ya dom na singida. wakati wa stori haja ikanishika nikaelekea kwenye kichumba ambacho nilijua ni toilet kumbe ndio mikwasa inahifadhiwa huko aisee kilichotokea sitaki kuelezea.
 
Lengo lake hasa lilikuwa nini?
lengo lake lilikuwa kupata silaha,kisha akutane na wenzie nao wakiwa nazo mbili ambazo wangezichukua hapa ufaransa,kisha waelekee next stage sitaitaja.

bahati mbaya akakuta wenzie hawakufanikiwa kufanya alichokifanya.

wakati wapuuzi wanapiga makelele humu unaweza waangalia halafu ukabaki unasikitika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…