Unajua ukiwa na laana ya nafsi zilizodhulumiwa huwezi kujua bali waliokuzunguka ndo wanaona balaa unalopitia.Shida watznapenda shortcut sana
Mkuu asilimia kubwa ya Wanaoenda Muhimbili wanakuwa hawana chaguo lingine zaidi ya Muhimbili.. Na hawaendi kwa maamuzi yao, bali wanapewa Rufaa baada ya Hospitali nyingine kushindwa kutibu ugonjwa wao..Gentleman,
zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe.
ukiwa na kipato cha uhakika na ukiwa na bima ya Afya huwezi kua na mashaka na matibabu na wala huwezi kupotoshwa na kutishwa na yeyote. epuka uvivu.
Muhimbili kila idara imejaa wagonjwa wakitafuta tiba, kuna wakati ilifikia hadi wanalala sakafuni kwa wingi wao.
hiyo inamaanisha waTanzania wana uwezo wa gharama za muhimbili.
sasa hiyo asilimia 90 unaojaribu kupotoshwa eti hawawezi kumudu, inaweza kua ni wewe na huyo mpotoshaji pekee ambao ndiyo hamumudu hizo, ila mnamudu kula bata mpka asubuh kwetu Pazuri na kwingineko, na huku mkimiliki iPhone ya milioni 4, isiyo na vocha wiki nzima 🐒
Sawa ila sikujibu vibaya kwasababu nakuheshimu tuUnajua ukiwa na laana ya nafsi zilizodhulumiwa huwezi kujua bali waliokuzunguka ndo wanaona balaa unalopitia.
Haya manejo kamwqmbie Abduli na shemeji yake mwenye kifua kipana
Ulikuwa MOI??Mwezi wa pili nilipo kua nimevunjika mguu nilikua private ward kwa wiki moja na siku mbili nililipa 85k per day labda nilifanyiwa discount
Ila nilishangaa Sana Sana walibadilisha mashuka kila asbh na kupimwa pressure kila asbh Ila ni Bora hata hoteli ningepewa japo breakfast Ila ni gharama Sana mkuu kwa watanzania wenzangu wa Hali ya chini..
Hiyo dialysis utapata wapi kwa gharama ya chini zaidi ya Muhimbili gentleman?Mkuu,
Unajua hospitali namba moja TANZANIA ni muhimbili so ndio kimbilio nchi nzima
Unajua Kuna watu hupewa referral kuja muhimbili from either bugando,kcmc e.t.c japo na izo ni hospital kubwa hapa nchini..
Unajua mwaka 2010 mpaka 2020 watu wenye matatizo ya Figo ilitakiwa wake dar es salaam TZ kupata huduma na kimakazi?! Baba mdogo angu Ali survive miaka 10 na issue ya Figo na aliacha kila chake akaja dar kupambania uhai..
Dialysis unajua gharama zake..mkuu acheni siasa majority humu tunatoka backgrounds za kimaskini Ila mnajipofusha fikra zenu.
TZ sisi majority ni maskini ie case study YANAYO ENDELEA BAADA YA MASAA 72 KARIAKOO KWENYE WOKOZI AJAR
Hawajui alikujaga muhindi anashida na figo nilimuonea huruma sana yule muhindi ugonjwa ushafilisi biashara zakeMkuu,
Unajua hospitali namba moja TANZANIA ni muhimbili so ndio kimbilio nchi nzima
Unajua Kuna watu hupewa referral kuja muhimbili from either bugando,kcmc e.t.c japo na izo ni hospital kubwa hapa nchini..
Unajua mwaka 2010 mpaka 2020 watu wenye matatizo ya Figo ilitakiwa wake dar es salaam TZ kupata huduma na kimakazi?! Baba mdogo angu Ali survive miaka 10 na issue ya Figo na aliacha kila chake akaja dar kupambania uhai..
Dialysis unajua gharama zake..mkuu acheni siasa majority humu tunatoka backgrounds za kimaskini Ila mnajipofusha fikra zenu.
TZ sisi majority ni maskini ie case study YANAYO ENDELEA BAADA YA MASAA 72 KARIAKOO KWENYE WOKOZI AJAR
Ukikosa akili usitake kila mtu ajue kuwa huna akili, jaribu kufunga kinywa chako kama hujatafakari...Gentleman,
zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe.
ukiwa na kipato cha uhakika na ukiwa na bima ya Afya huwezi kua na mashaka na matibabu na wala huwezi kupotoshwa na kutishwa na yeyote. epuka uvivu.
Muhimbili kila idara imejaa wagonjwa wakitafuta tiba, kuna wakati ilifikia hadi wanalala sakafuni kwa wingi wao.
hiyo inamaanisha waTanzania wana uwezo wa gharama za muhimbili.
sasa hiyo asilimia 90 unaojaribu kupotoshwa eti hawawezi kumudu, inaweza kua ni wewe na huyo mpotoshaji pekee ambao ndiyo hamumudu hizo, ila mnamudu kula bata mpka asubuh kwetu Pazuri na kwingineko, na huku mkimiliki iPhone ya milioni 4, isiyo na vocha wiki nzima 🐒
Gentleman,Mkuu asilimia kubwa ya Wanaoenda Muhimbili wanakuwa hawana chaguo lingine zaidi ya Muhimbili.. Na hawaendi kwa maamuzi yao, bali wanapewa Rufaa baada ya Hospitali nyingine kushindwa kutibu ugonjwa wao..
Siyo kwamba wana pesa nyingi, La hasha!!
muerevu umejaa mihemko na ghadhabu tu 🤣Ukikosa akili usitake kila mtu ajue kuwa huna akili, jaribu kufunga kinywa chako kama hujatafakari...
Mmh itakutibu malaria na UTI basiBima ni 155,000 kwa mwaka.
Sasa kama ndio hivyo hizi Kodi tunazolipa Zina faida gani kwetuNdiyo ni kweli, Nina ndugu yangu alitibiwa hapo Kam wiki mbili zilizopita, gharama ya kitanda kwa siku ni elf 50, hata nasi ilitushangaza lkn tulilipa
Wala sina mihemko, na wala sina ghadhabu mkuu.muerevu umejaa mihemko na ghadhabu tu 🤣
umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala mapema sana gentleman dah 🤣
Chadema hz ndo sera ila mnajitia wehu tu , Kuna muda nahis chadema ni ccmu BHabari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze nyumbani mwenyewe kwenye chumba chake cha efu arobaini kwa mwenzi.
Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu,na watakao zimudu hawatoboi mienzi hata miwili.
Kulala yaahn kugeuza mgongo kulia na kushoto na kulala chali(kulalia mgongo) kwa masaa kadhaa kwa siku ni tsh 50,000 na kumbuka hiko kitanda ni kama vya boarding
sasa gentleman,Wala sina mihemko, na wala sina ghadhabu mkuu.
Ila swala la afya ya binadamu haitaki ubainfsi, ulichoandika ni ubinafsi, swala la fedha kila mtu anazitafuta, ila huwezi amini hata wenye fedha nyingi, linapokuja swala la afya nao wanaumia.
Kuwe na gov't subsidy ili kusaidia jamii yote, wenye nacho na wasio nacho. Swala la universal health linagusa kila mtu, hakuna aliye salama. Ndio maana nikakuambia, shirikisha akili yako, sio kila kitu uingize siasa za majitaka za ccm.
Kuna mambo mengi mengine sio ya kuandika humuHawajui alikujaga muhindi anashida na figo nilimuonea huruma sana yule muhindi ugonjwa ushafilisi biashara zake
Sijui kati yangu na wewe nani ameandika kiubinafsi, kwamba kisa wewe unajiweza kiuchumi(?) basi unashurutisha wote "tutafute pesa". Unadhani watu hawazitafuti?sasa gentleman,
ikiwa huna mihemko na ni mtu mwerevu,
unawezaje kubeza maoni au mtazamo wa wengine ambao tofauti na wako, badala ya kupendekeza au kutoa wazo jipya au fikra mbadala na powerful zaidi ya lilotolewa?
na mbona una maoni mazuri tu? ndiyo maana nikasema una mihemko na unaonyesha kabisa kua na majivuno, mbinafsi mwenye altitude,
Sio vizur na usirudie tena tabia hiyo ya uchoyo na ubinafsi. Mtu una wazo zuri tu but unakua mbinafsi kulitoa mpaka sijui ufanyajwe.
Anyway,
suluhu na ahueni kwa mambo yote ya kiafya kwa kila mTanzania ndio hicho ambacho serikali na wadau mballimbali wa afya wanashauri na kusisitiza kila siku kwamba kila familia kua na bima ya afya.
Mazingira ya kupata bima yako vizuri ni uamuzi wa familia husika tu 🐒