Gentleman,Sijui kati yangu na wewe nani ameandika kiubinafsi, kwamba kisa wewe unajiweza kiuchumi(?) basi unashurutisha wote "tutafute pesa". Unadhani watu hawazitafuti?
Wakadondokewe na maghorofa mabovu wafe?Mishahara wanalipwa l, ila tena wanataka kulipwa Kwa mgonjwa kwa mgonjwa, utu kwao = 0.
Wagonjwa wa pesa full kugombewa.
Kama ni utajiri si wakauze nguo kariakoo?
Halafu nikisema hujitambui unanijia juu! Universal Health care policies zinahitaji kila mtu apate huduma bora za afya regardless ya kipato chake..Gentleman,
mimi ile kitu naweza kufanya kwa bidii sana ni kilimo, hapa kusema ukweli najiweza.
Acheni uvivu basi ndrugo zango na mkate bima za afya japo si Lazima?🐒
Kumbe nawe ndio walewaleSasa mtu anataka Hospitali ya Taifa watoze Bei gani??
Kama Huko.swekeni Hospitali ya Wilaya na Hospitali za Mikoa Wanatozwa 25k mpaka 30k kwa siku..
Na Huko Hospitali za Kanda wanatozwa 40k mpaka 50k..
Hiyo 50k Ni msaada tu walitakiwa kutoza Bei zaidi ya Hiyo..
Dah,raha zinawalevya aiseeMbona Ni gharama Ndogo sana Sasa Hapo hata Sio PW kule Private...
Mtu analalamika 50k Wodi ya kawaida Sasa Muhimbili Unataka Ulipe Bei gani?
Inategemea na unachoenda kutibiwaBima ni 155,000 kwa mwaka.
Hongera mna uchumi mzuri
Tulichangishana, tumelipa na tumebaki na madeniHongera mna uchumi mzuri
Bila michango mnampoteza ndugu huku mnaona.Tulichangishana, tumelipa na tumebaki na madeni
Shida Watanzania Hatupendi kuambiwa Ukweli tunapenda kuambiwa Vitu kwa kubembelezwa na Kudekezwa au kwa kudanganywaKumbe nawe ndio walewale
Thread 'Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON' Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCONTrue Kabisa nakuunga Mkono
Halafu Cha kushangaza Nimeona wanachangisha Maafa ya kariakoooThread 'Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON' Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON
Nchi ina laana hii.Harafu Cha kushangaza Nimeona wanachangisha Maafa ya kariakooo
Kwani Basket Fund inaenda wapi siku hizi?Nakubalina na Wewe kabisa 100%
Kama tukibadilisha Sera na Wizara ya afya ipokee Ruzuku na Hospitali Zisijiendeshe zipokee Pesa Moja kwa Moja kama vipokeavyo Vyuo na Mashule Tunaweza Kumudu Gharama
Unaweza ukalipa bima ukaambiwa haihusiani na kitanda. Wanataka cash ya kitanda na hilo ni jambo la kawaida kabisa kutokea katika hii nchi.Bima ni 155,000 kwa mwaka.
Ni rahisi kuongea hivyo kama unaishi maisha ya kulipiwa kila kitu na ofisi au kampuni.Sasa mtu anataka Hospitali ya Taifa watoze Bei gani??
Kama Huko.swekeni Hospitali ya Wilaya na Hospitali za Mikoa Wanatozwa 25k mpaka 30k kwa siku..
Na Huko Hospitali za Kanda wanatozwa 40k mpaka 50k..
Hiyo 50k Ni msaada tu walitakiwa kutoza Bei zaidi ya Hiyo..
Wagonjwa hawahitaji chakula hospital, wanahitaji matibabu. Chakula hata rafiki àñawezà kukupa.Na chakula au bila chakula?