this is very sensitive issue,we have to stand together and to stop any kind of palpitations.
 
Ni lini serikar imejibu hoja za lissu zaidi ya kumkamata? Acha unafiki
 

Umeongea ukweli....lkni at the end kwa akili zetu za kudesa watakwambia unatetea serikali.elewa kua Hakuna rational thinking kwa watu wenye maumivu kwa sasa.....there ,,,,,although haiwezi kukwepa lawana kwa treatment yake dhidi ya Lissu...tumuombee uzima pengine atatuongezea Details ili hisi hisi zetu ziwe confirmed..
 

WAnaweza kuwa vichaa ama vyovyote lakini kwa 99% ni hawa hapa.

 
Nausikiliza Wimbo Wa Bob Marley Redemption, Machozi Yananitoka. Nchi Inayoua Manabii Wake Ni Nchi Mfu, Tusipolitubia Taifa Sasa Kwa Damu Hii, Huenda Tusipate Tena Rehema Huko Tuendako
Crap.....just be glad he 's alive na tumuombee.....from what i've seen and read hakuna serikali inayomiss target....tumuombee apone a-shed some light into this situation.
 
Nje ya mitandao ya kijamii na baadhi ya wasomi, Magufuli anakubalika na wengi nvhini, hasa vijijini ambako kura nyingi ndiko zinakotoka. Waathirika wa sera za Magufuli ni elites pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Elites ndio wafadhili wa watu wa vijijini, elites wanapoathirika kiuchumi inawagusa moja kwa moja hao wa vijijini. Na sasa ujumbe unaopelekwa vijijini na hao elites ni kwamba sera za huyu mtu ndo zinawafanya wasiwafadhili kama ilivyokuwa awali!
 
Saws sawa kabisa. Vyombo vyote vya uchunguzi wanavyo serikali nini kinawazuia kuifanyia kazi theory yako hiyo?
Mbona Theory ni nyingi , serekali ni lazima izishughulikie zote, mpaka kijulikane. Kina Mwakiyembe walilishwa Sumu na wahusika hawakuchukuliwa hatua wala hatujaelezwa yaliishia wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…