Unaweza kuwa sahihi. 2020 itafichua mambo.Elites ndio wafadhili wa watu wa vijijini, elites wanapoathirika kiuchumi inawagusa moja kwa moja hao wa vijijini. Na sasa ujumbe unaopelekwa vijijini na hao elites ni kwamba sera za huyu mtu ndo zinawafanya wasiwafadhili kama ilivyokuwa awali!
Ok. Kwamba inaweza kuwa motive ni suala linalohitaji uchunguzi huru, lakini ukiangalia hizo media ambazo bila shaka umezitumia kama reference kuhoji, wao wanajaribu kuhusisha haraka kabisa tukio hilo na ukosoaji wa Lisu dhidi ya serikali. Na ni muhimu kufahamu kuwa mataifa makubwa na media kubwa kubwa, zinamtazama Magufuli kama kiongozi asiyependa ukosoaji. Kwa hiyo kwao angle hiyo ya headline ina maana kubwa!Sawa mkuu, Mimi najaribu kuwaza kama hiyo inaweza kuwa sababu/motive.
Why it cannot be his own party and it is easy for you and others to point a finger at the Govt., Lissu had no chance of removing the Govt from power, but he had the popularity to win the Chadema leadership from Mbowe and he can outshine Lowassa and be the flag bearera of Chadema.Reading some of the comments here and repetitive in other posts, one will realize that this was a calculated move. One might form a rebuttable presumption that many, particularly in social medias, were prepared to defend in whatever means any reflection/attack on GoT to have committed this act. Everybody knows who TL was against and what he fought for. It is quite inconceivable to be made to understand that the perpetrators of this evil act come from his own party members or enemies of the state. (my view of which i stand to be criticised)
Msimsahau..mbowe na LOWASSA into this......Kwa moto alionao LISSU kujijenga na kujipatia umaarufu ni kikwakazo ikubwa sana kwa USTAWI WA UENYEKITI WA MBOWE na ustawai wa LOWASSA kama mgombea URAIS 2020.....Changanya na zako
Nadhani hizo gaps ndiyo majibu yenyewe.Tundu Lissu made himself a sweet target to quite a number of suspects!:
- Within his party he could already be, to some members, more profitable dead, come the right circumstances, than alive! AND SOME LITTLE DEVILS WON'T HESITATE WHEN THE ATMOSPHERE SIGNALS IT'S TIME TO PIN THE TAIL ON A FALSE MONSTER!
-
-
-
FILL THE GAPS!
Na watajulikana tu mkuu....kuua mtu sio kama kuchinja kuku....Semeni yooote ila damu ya MTU ni kitu kingine. Mungu akitaka tuwajue wahusika hasa baada ya kilio cha wengi tutawajua kirahisi tuu. Kumbukeni yule kijana aliyetdka watoto na kuwaua Arusha na kukamatiwa Geita.
pia kumbuka yeye ndiye alikuwa mtu wa kwanza kutupa taarifa kuwa bombadia yetu imezuiwa na wanaotudai huko canada, na alilalamikiwa sana na WAZALENDO waliokuwa hawataki wananchi wajue.Msimsahau..mbowe na LOWASSA into this......Kwa moto alionao LISSU kujijenga na kujipatia umaarufu ni kikwakazo ikubwa sana kwa USTAWI WA UENYEKITI WA MBOWE na ustawai wa LOWASSA kama mgombea URAIS 2020.....Changanya na zako
God help you my friend,lets sing the same song please.Hivi si alisema kuna watu walikuwa wanamfuatilia na gari Toyota Premio akawakaba na kisha akamuonya IGP? Huko Dodoma ameshindwa kuwakaba? au Wanaume wale wa Dar ndio waliwezekana na Wa Mikoani kawashindwa?
Crap.....just be glad he 's alive na tumuombee.....from what i've seen and read hakuna serikali inayomiss target....tumuombee apone a-shed some light into this situation.
Hapo kwenye namba ndipo pa kuanzia. Lakini ujue magaidi hutumia namba feki.Na kipindi akisema anafatiliwa na plate namba za gari akazitoa nako hamkusikia?? mnataka kujisafisha etii vichaa flani tuu!! Shame on you
Ohoo!Msimsahau..mbowe na LOWASSA into this......Kwa moto alionao LISSU kujijenga na kujipatia umaarufu ni kikwakazo ikubwa sana kwa USTAWI WA UENYEKITI WA MBOWE na ustawai wa LOWASSA kama mgombea URAIS 2020.....Changanya na zako
Ok. Kwamba inaweza kuwa motive ni suala linalohitaji uchunguzi huru, lakini ukiangalia hizo media ambazo bila shaka umezitumia kama reference kuhoji, wao wanajaribu kuhusisha haraka kabisa tukio hilo na ukosoaji wa Lisu dhidi ya serikali. Na ni muhimu kufahamu kuwa mataifa makubwa na media kubwa kubwa, zinamtazama Magufuli kama kiongozi asiyependa ukosoaji. Kwa hiyo kwao angle hiyo ya headline ina maana kubwa!
You are "right: they got it "right" with UlimbokaCrap.....just be glad he 's alive na tumuombee.....from what i've seen and read hakuna serikali inayomiss target....tumuombee apone a-shed some light into this situation.
kwahiyo wewe vimsemo vya kwenye movie (john wick 2) ndo unaleta hapa?Consider it a professional courtesy........