mnaropokaropoka kama mmechanganyikiwa..mtatajana muda si mrefu
tumuombee lisu.
 
Walau katumia akili kdg kutaka kuikingia kifua serikali. Hutafaulu ktk hilo.

Na unajifanya kukiri kuwa ww ni mmoja wao wanaomchukia TL hata kuomba kumuua ss unataka tukufanyeje? Basi ni ww na genge lako ndo mmetekelezq unyama huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm unajitetea au sio

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Dhana tu: Waliompiga risasi Tundu Lissu walikuwa na nio ovu ya kuhakikisha Taarifa ya Mh Rais Dr Magufuli kusafisha sekta ya madini esp Almasi na Tanzanite haiwi covered vya kutosha na vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi.

Hii ni dhana tu kwangu ila tuache vyombo vya uchunguzi viendelee na uchunguzi na upepelezi wao.
 
The first suspect will be your 1st enemy, who is Lisu's 1st enemy?? Is known or unknown, I think you know? so usianze kuleta blabla hapa
Maybe the attackers were NOT Lissu's enemies. Maybe they wanted to implicate Magufuli's government so that he loses elections in 2020.

There are many enemies of Magufuli who wouldn't hesitate to sacrifice Lissu to achieve their goal.

Have you thought of this scenario? It seems more plausible to me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kifyatu, umechambua na sioni hata sehemu uliyokosea. Wewe ni mchambuzi makini sana!
 
Mkuu siyo dhana tu bali ni uhalisia wenyewe.Tutafika tu hata kwa kuingia msituni.
 
AAAh I haven't thought about this scenario. Very possible!
 
Simchukii Lissu bali namlabua vibaya sana kwa hoja zake potofu. Sikatai kumshambulia kwa nguvu zote katika hoja sio kwa kutumia mtutu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tukitumia vizuri bongo zetu there is a lot of hypothesis to be tested here lakini unajua tulivyochpka kufikiri, kabla story kuisha jibu limeshatoka. Kumbuka kesi ya H. Rungwe tulisema meeeengi,kumbe kuna mtu anamdai tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya mitandao ya kijamii na baadhi ya wasomi, Magufuli anakubalika na wengi nchini, hasa vijijini ambako kura nyingi ndiko zinakotoka. Waathirika wa sera za Magufuli ni elites pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuntu. elite wamegawanyika Mkuu kuna beneficiaries na victims wa policy za Mkuu wa nchi.....kwa sasa pool za kila wizara zina victim wanaosubiri kupangiwa kazi...huwa najiuliza waliopunzishwa wakisubiri. so wanatia hasara tu. Kwa mini wasiende kufanyakaz za ujenz wa taifa hili....zipo nyingi tuuuuu.
 
umekuja na vocabulary zako ukazitumia hizo hizo...

duh elimu elimu ya tz shiida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…