Wizara ni nini???
 
Binadamu huwa hatupendi kusikia tusichopenda kusikia.Unaweza kukuta kilichoandikwa ni kweli ila sasa CCTV camera kung'olewa ndiyo inaleta mkanganyiko.Mungu ibarki Tanzania
 
kwayoyote mwenye kuajiri hawa watu walete taarifa zadizain hii namuomba anitafute. Mim nimtalam nampishi mzuri wastory kama izi haiwezekani mtu alipwe buku 7 per alafu alete habar pumba kias hiki. Kwayoyote muhusika nahili swala anitafute naatafurahiswa nakazi yangu
 
Kweli Mkuu, wameona anajinufaisha peke yake, wakaona isiwe tabu
Usikimbie. Jamaa aliyekupa taarifa hii anafanya serikalini na waliokuwa wanampa Lissu nyaraka za serikali ni wafanyakazi wa serikali hivyo ukiunganisha wafanyakazi wa serikali ndio waliompiga risasi na moja kwa moja serikali imehusika!
Swali, kama hiyo inajulikana na wewe una taarifa hizi ulizopewa ni kwanini uziweke hapa badala ya kuzipeleka kule wanakosubiria kusaidiwa ili wakamatwe na washtakiwe ili tumjue mhaini na msaliti halisi kati ya wanyofoa nyaraka na muuzaji na wauaji na huenda na bunduki ile walikodi ili wakodishaji ambao kwa vyovyote ni dola ishtakiwe kwa kukodisha silaha ya kivita?
Haya vyombo vya uchunguzi mmempata msaidizi mtumieni awaongoze huenda mkampata mhusika!
But kijana mleta hoja ikiwa taarifa hizi ni za kutunga ili kuwafurahisha lumumbas siku polisi wakiwa seeious usije kulia kwani polepole hana uzoefu na mahakama! Utajuta na familia yako hao unaowatumikia sio watu!
 
Ziko hadithi nzuri...hii hukupangilia..
 
Mkuu kama ni Pumba, ungepita tu kimya kimya
 
Leo utapewa za uso! unaleta habari ambayo hawataki kabisa kusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…