Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

Pinda aliwahi kuleta mjadala wa Zanzibar ni nchi au siyo nchi uliishia wapi?
 
Yaani bora ungekaa kimya tu, nimekushangaa sana.
 
Patriotic anaamini katika ushindi wa kuiba kura na rushwa?
anaheshimu maoni na mtazamo wa walioshindwa na watakaoshindwa vibaya tena mwaka huu 2024 na baadae 2025๐Ÿ’
 
"The ruling government with duties and responsibilities of transforming the country to the next level of development"
Are you kidding dude?
 
mihemko ni utumwa na ni mzigo mzito sana ๐Ÿ’

katiba sio kitabu cha dini.
katiba inaweza kua na mapungufu, na hata kama yapo sio lazima wote tuyaone au tulazimishane kuibadili...

hata hivyo hata ukimwita mtu majina ya hovyo namna gani haibadili chochote popote, na ndio maana haiwezekani kufanya mdahalo na watu wa mihemko ๐Ÿ’

Habari ya ukuu wa wilaya sijui ubunge sio issue sana, ile muhimu ni kusukuma ile kazi ya maana sana ya maendeleo kwa wanainchi ๐Ÿ’
 
"The ruling government with duties and responsibilities of transforming the country to the next level of development"
Are you kidding dude?
and that is very serious activity of the govt in place ๐Ÿ’
 
Kusikiliza speech na hoja za Tundu Lissu ni vizuri kwa afya ya akili yako..... Kaa mbali na matapeli ya CCM yanayojificha kwenye kichaka cha muungano fake.
 
Narudia tena!!Bila UCHAWA wewe hunauwezo wa kupata hela kwa kutumia akili na maarifa yako.Bila CCM na propaganda zake huwezi kuishi.Umechagua maisha ya KUWA MALAYA WA KISIASA kama namna ya kupata kipato.

Bila katiba mbovu ya nchi hii huwezi kuishi .Vyeti vyako kwasasa si kitu ,Elimu yako ya UDSM si kitu tena.
 
Kusikiliza speech na hoja za Tundu Lissu ni vizuri kwa afya ya akili yako..... Kaa mbali na matapeli ya CCM yanayojificha kwenye kichaka cha muungano fake.
Uitishwe mdahalo, Lisu na Team yake waje akiwemo Kabudi, Tulia na AG

Wananchi tumsikize na kuuliza maswali.
 
Mkuu ungekuwa na akili japo kisoda tu ,ungejibu hoja za Muungano Kwa kuzingatia katiba tu .Tuna mtafuta CCM mwenye uwezo huo .Hatupo kwenye hoja za Ngorongoro, Hatupo kwenye hoja za Wanyaturu kwasasa.CHAWA WA MAMA JIBU HOJA .
 
Astaghfirullah
 
hakuna swali wala hoja ya kujibiwa kutoka kwa kibaraka mropokaji ๐Ÿ’

wenye kazi na majukumu mazito ya kuongoza na kutumikia wanainchi hakuna muda wa kubabaika na visivyo na maana ๐Ÿ’
Kuongoza Taifa la makondoo nayo ni bonge la kazi?
 
"The ruling government with duties and responsibilities of transforming the country to the next level of development"
Are you kidding dude?
and that is very serious activity of the govt in place ๐Ÿ’
 
Kuongoza Taifa la makondoo nayo ni bonge la kazi?
sio makomando tu hadi manyumbu na mihemko yao tuyaongoza, tunayakabili na kuyadhibiti vuzuri sana ili kusudi wanainchi wapate maendeleo endelevu ๐Ÿ’
 
wewe rudia ghadhabu zako kadiri uwezavyo, lakini ile muhimu zaid ni kwamba mercenaries na puppets wataendelea kukabiliwa na kudhibitiwa vilivyo, i ili wenye jukumu na wajibu wa kuwatumikia wanainchi wafanye kazi na majukumu yao kwa utulivu zaidi๐Ÿ’
 
Waziri wa Habari nadhani ana majawabu kwani amenena hapo mjengoni! Nchi inaendeshwa kimkakati na sio kiKATIBA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ