Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

Sijawahi kupigwa parefu sana.

ila hakuna siku roho iliniuma kama siku hiyo mwaka 2017 nilikuwa nimechalala mbaya.

nikaweka buku mbili team zipo kama 8. huwa sichezi direct win. wengine wote nilicheza option za magoal na gg.

zikatoa fresh match ya mwisho imebaki team inaitwa Ural sijui ilikuwaje nikawa nimeipa win mazima.
Dkk ya 70 imeweka goal naona pesa hii hapa... hee dkk ya 85 imechomolewa ngoma ikalala 1-1

ile team kila nikiionaga huwa nakumbuka ilichonifanyia maana kwa jinsi nilivyokuwa nmechalala ningepata ile laki mbili ningeona kama milion mbili.
Ila siku hz ni kama nimeacha tu kubet maana nabet mara moja moja sana. Tena naweza weka mkeka hata nikasahau kama nimebet.
 

Ilipigwa Millioni lakini bila Kubet Sidhani kama ningeshika kiasi kikubwa chapesa kama kile ndomaana nasema SIACHI ni kupumzka tu na kuendelea anyway wengi tunakwama kwa kubet prematch mm naona LIVE Bet ndo nzuri zaidi na sijawai kubet prematch miaka imepita sasa pamoja na yote group la whatsapp lipo tunapeana mbinu na code amna kuuziana wala utoto utoto
Link juu
 
Kwanini huku cashout?
 
Next time usibeti kwenye cup games kama FA cup, coppa italia, carabao cup, DFB pokal, KVNB cup n.k

Kwenye mechi hizi timu nyingi kibwa huwa hawayapi umuhimu haya makombe kwahiyo hupanga wachezaji wengi wa kikosi B ambao hawapati muda wa kucheza kwenye ligi kuu. Timu ndogo huwa zinakamia kwani hayo ndio makombe yao makubwa
 
Big up sana[emoji123]
 
Option 1-5 ndio habari yenyewe, bata zangu zinaboostiwa na hio option, nikiwa sina pesa na ninampango na pisi kali ndio zangu, mende wenu kama bayern, mancity, psv, ajax, benfica siwagusi sitaki ujinga.
 
Wewe ni Mimi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…