nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Karibuni kutazama kazi hii ya filamu kutoka FILAMU picyures
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Freibug ni boya sana kenge yuleSio mbali leo tu nimempa Freiburg aongoze first half lakini akapigwa na st paul. ipo daraja la pili
Nilistake pesa ya biscuit ya mwanangu sijui kesho ntamweleza nn?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Halafu hii mechi si Benzema alikosa penaltyOdd 52 Madrid akaondoka nazo
Nakumbuka hii ngoma ndio ilisababisha uape kutoibetia chelsea tena?Chelsea vs Watford
Tarehe 26/12/2015
Dau 4,900,000/
Chelsea alikuwa na odds 2.0
Nikampa ikawa inaleta 9,800,000/
Enzi hizo hakuna kodi
Chelsea kapewa Penalt dakika ya 80 Oscar kapaisha
Game ikaisha 2-2
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]Mimi huwa nikikumbuka natafuta mahali tulivu nalia kwanza [emoji22][emoji22]
Ndio maana una alias name ya dawa hahaha pole sana. Wahanga wa hiyo makitu tupo wengi sanaSitasahau siku bayern anatoa draw ya 2-2 na stuttgart. Nilikuwa nakula 9.5M yaani goli linarudishwa dk ya 92, nilikosa usingzi wiki nzima, aisee depression ni mbaya sana.
Ukitaka kubeti vizuri uweke stake nono timu chache. Haina maana timu chache hutopeteza la hasha', unaweza kupata au kukosa.Kuna watu wanakuja kujiaibisha hapa.
Eti mtu anashangaa mtu ku-stake 250,000 kwa timu moja anasema ni chai! Si ushamba huu!
Mi mwenyewe hapa kapuku, kuna kipindi mwaka 2018 nilikuwa napiga deiwaka sehemu kwa mshahara wa 300,000, wakati huo huo nilikuwa na mishe sehemu nyingine kwa 180,000 kwa mwezi. Lakini kwa kipato hicho cha kikapuku nishawahi kustake 950,000 ambayn kwangu ilikuwa nyingi sana. Sasa mtu anatokea anashangaa 250,000!
Kuna mwamba hapa JF Going Concern alikuwa anastake 4,000,000. wakatokea watu wakawa kama wanafurahi hivi akiliwa, mwamba akapotea moja kwa moja, nadhani atakuwa anabeti kimya kimya anatuona sisi wengine tuna mawazo ya kimasikini. Ila mimi alikuwa ananiinspire sana na mastake yake mlima.
Nakumbuka nipigaga mhindi 1.5M kwa Jero tuHivi michezo ya kubashiri inaweza kutumika kama njia ya kujikwamua kiuchumi? Vipi kuhusu uraibu (addictions) faida na hasara kwa vijana, watoto na jamii kwa ujumla?
Sahihi kabisa mkuu wanguAlafu hii mechi si benzema alikosa penalty
Mkuu nielimishe kuhusu Asian handicap, inakuwajeNext time cheza Asian handicap
Ulikurupuka boss mechi za kirafiki uwa hatubetiikuna mechi mwaka jana walicheza Barca na na timu flani ya Japan mechi ya kirafiki, nikampa Barca mzima mzima, nikaweka stack 300k.
Barca akapigwa kimoja tu, yaani kimoja tu cha nguruwe. Tokea hapo sasa nikapata akili ya kubeti kistaarabu[emoji23][emoji3]
Nenda kwenye uzi wa kubeti
Ipo kampuni gani hii?Option 1-5 ndio habari yenyewe, bata zangu zinaboostiwa na hio option, nikiwa sina pesa na ninampango na pisi kali ndio zangu, mende wenu kama bayern, mancity, psv, ajax, benfica siwagusi sitaki ujinga.
Naomba hii kampuni nijaribuLazi juzi kanikosesha laki ningeamkia sokoni kuchukua jogoo
Jinsi Nilivyomsaidia Mr.Melinyo Kumtengenezea 7M Ndani Ya 1 Wiki Tu…Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwaiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale.
Mchezo uliisha 3 - 3!
Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?
Nilivyobet na Kuliwa Tsh 100,000 ya Ada ya ChuoKuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwaiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale.
Mchezo uliisha 3 - 3!
Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?