Don Carlos92
Senior Member
- May 8, 2018
- 157
- 188
Msaada jamani naomba nyimbo mbili ila majina ya nyimbo Sina uhakika;
1; Bui Bui - Nenda
2; Fred - Nalizwa
Nawasilisha ombi kwenu Wakulu.
Mbongo (Pesa) - imeimbwa na Fredy Mayaula Mayoni; forward wa zamani (mwanzoni 1970) wa Yanga Africans SC.Mi Kuna nyimbo ya kikongo ya zaman kidogo simjui muimbaji Wala jina la wimbo ila kiitikio chake no hiki "OYEYE MBONGO EEEH EEEH."
mi natafuta ule wa ngoni tribe wanawake wazuri wazuri wameolewa yamebaki manunganyembe