Nifanye nini niongezeke uzito?

Kale kamama KANENE cha kwenye lile swala la TRA ni kachaga pia.

Kafupi kanene kama kibanda cha MPESA, halafu kichwa kidooogooooo!

Kamejaa, matuta, wowowo, mafenesi, manyonyo kama mapapai, kamejaa kako MVIRINGO
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka mno mnooo
 
Yaani atulie tu nlikua kama yeye nahangaika kunenepa, baada ya kuzaa nimefutuka natamani kulia nahangaika kupungua sasa
Azae kwanza ndo atajua yeye ni mnene kias ghan
 
kula kitimoto kilo moja na bia 4 mchana, usiku kula ulimi wa n'gombe na bia 2 asubuhi supu ya samaki mkate weka blue band na maziwa ya nido kula mlo huu kila siku utanishukuru namalizia kwa kusema kuongezeka ni rahisi kuliko kupungua!
 
Kwa nini unakula kidogo bibie?
Mazingira yako ya kazi au nyumbani hayakuruhusu kula kwa wakati?
Je unauhakika mwili huo unaoutaka kwenye familia yenu watu wengi wapo hivyo isipokuwa wewe tu ndio sio kibonge?
Kwa upande wa bi mdashi wote wabonge sema watoto wa bimdashi sote ni wembamba
 
Kwa nini unakula kidogo bibie?
Mazingira yako ya kazi au nyumbani hayakuruhusu kula kwa wakati?
Je unauhakika mwili huo unaoutaka kwenye familia yenu watu wengi wapo hivyo isipokuwa wewe tu ndio sio kibonge
Mazingira yanaruhusu sema ndo hvyo nikila kidogo tu nakua nshashiba ani,nkitaka nile vizuri mchana basi asubuhi nabid nisinywe chai...nkinywa chai mchana nkija kula nakula kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…