Ile story ina page 200 nani asome episode ziko 150+ alafu ndefu kinoma mi sikuweza kuisoma asee niliishia kusoma za Analyse ndo huwaga nzuri nzuri
Ukipata shemeji hamna kuwa mpwekeππ Imebidi nicheke
Siwezi kumshauri huyu kwenye I'd yake ile nyingine ni Anakifafaπ€£π€£Upweke wengi wanao sema sio wa kuchukulia serious sanaa π€£π€£π€£π€£ ndio maana unafukua nyuzi za enzi ya Nyerere kumbe upweke πππ ngoja dada yako fake p aje kukushauri mpweke
JF Pana sana, kwa hii I'd kama sio wewe Upo na utimamuπ€£π€£ Uoga tu πππFake P njoo rafiki π
Kumbe janja janja nyingi ni sawa na yule anaetumia vinaniliu ukiona I'd inayotumia vile vinaniliu ujue ni yeye kaja kvingineSiwezi kumshauri huyu kwenye I'd yake ile nyingine ni Anakifafaπ€£π€£
JF Pana sana, kwa hii I'd kama sio wewe Upo na utimamuπ€£π€£ Uoga tu πππ
My pleasure!Naam ushauri wako mzur sana Asante mkuu
π€Έπ€Έ Tukaandae Daku bwana. Shibe imepunguaKumbe janja janja nyingi ni sawa na yule anaetumia vinaniliu ukiona I'd inayotumia vile vinaniliu ujue ni yeye kaja kvingine
Sasa dada wakazi miaka 18 utafanya nae nn mtu mzima wa age ya 35akae na house girl huko ni sawa na kuweka asali ndani ama kutumia mua kama fimbo yakutembelea!
π€£π€£π€£π€£π€£Kama sio tiba sasa mbona una upweke.
Na anavyofukua makaburi humu kuna siku atafukua lake πKweli upo mpweke uzi wa saa 6 usiku jmnπππππ
Nahisi nimesha ipata, kwenda kwa wakwe zangu to be.Find new thing that will interest you until you are bored again the cycle goes on and on...
Nahisi nimesha ipata, kwenda kwa wakwe zangu to be.
Kisha kumuona mchumba makes me happy, japo sisemi kitu ππ.