Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
inaonekana una asili ya kubishana, na inaonekana unasukumwa na itikadi za kiimani. Baki hivyo.Hamna huko ni kujitetea kutokana na aibu kubwa waliyokutana nayo . Bado Iran ana operate vinu vyake vya nuclear na hataki mazungumzo na mtu.
Uwongo uwongo mwingiiiiikwa kipigo ambacho israel ametoa kwa Iran,mpaka kuna mtaa kule Iran umepewa jina la NETANYAHU KUDADEK
View attachment 3444352
Tena wanadai Trump aliwaambia, acheni vita, mnashindwa!Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Mkuu niliwahi kusoma sehemu mwezi kabla ya vita hiyo kuanza nasikia Natenyahu alikwenda White House kumuona Trump na kumuomba kwamba kama Natenyahu ataishambulia Iran, basi Trump hasiwe mbali in case mambo yakimwendea vibaya Israel, hii ina maana Israel ilikuwa inajua tangu mwanzo kwamba Iran ina uwezo mkubwa wa kujibu mapigo, na kweli bila Merikani kuingilia kati sijui Natenyahu angefanya nini maana alijua fika kwamba Dunia iliona jinsi missiles za Iran zilivyo kuwa zinakwepa ADS za Israel na kupiga critical designated targets za Israel, vita hii ilikua aibu sana kwa Israel na kama Iran hisingepuuzia ushauri wa Urusi wa kuwapatia very effective air defense system siku za nyuma, basi mambo yangekuwa mabaya sana kwa Israel.Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Ningekua nasukumwa na Imani ningewatetea waisraeli maana Mimi ni mkatoliki. Ila wewe "blood of Jesus " hapana shaka unasukumwa na Jesus"inaonekana una asili ya kubishana, na inaonekana unasukumwa na itikadi za kiimani. Baki hivyo.
Na pamoja na marekani kuingilia na yeye base zake kule Qatar na Bahrain zikashambuliwa na akakubali yaishe. Ila sasa Kuna jamaa zangu hapa huwaambii kitu kuhusu US na Israel 🤣🤣Mkuu niliwahi kusema sehemu mwezi kabla ya vita hiyo kuanza nasikia Natenyahu alikwenda White House kumuona Trump na kumuomba kwamba kama Natenyahu ataishambulia Iran, basi Trump hasiwe mbali in case mambo yakimwendea vibaya Israel, hii ina maana Israel ilikuwa inajua tangu mwanzo kwamba Iran ina uwezo mkubwa wa kujibu mapigo, na kweli bila Merikani kuingilia kati sijui Natenyahu angefanya nini maana alijua fika kwamba Dunia iliona jinsi missiles za Iran zilivyo kuwa zinakwepa ADS za Israel na kupiga critical designated targets za Israel, vita hii ilikua aibu sana kwa Israel na kama Iran hisingepuuzia udhauri wa Urusi wa kuwapatia very effective air defense system basi mambo yangekuwa mabaya sana kwa Israel.
Mabingwa wa propaganda hao. Hivi sasa wamewajaza wahindi huko tweet kuwatetea na kueneza propaganda zao .Sifa moja ya Israel wao hawaongeagi
Usimuamini musiraeli hata siku Moja Huwa anaficha taarifa z madhara anayopata ili kuficha aibu. Si unajua Tena superpower wa mchongo🤣Wakubwa walikutana!! Wakati upande mmoja unapata vigo vya watu 1,060, na upande mwingine watu 38!!
Kuamini kuwa hao wawili wanalingana, kichwani ni lazima uwe mtupukabisa.
Iran says at least 1,060 people were killed in war with Israel.
Iran's government has issued a new death toll for its war with Israel, saying at least 1,060 people were killed and warning that the figure could rise.
Saeed Ohadi, the head of Iran's Foundation of Martyrs and Veterans Affairs, gave the figure in an interview aired by Iranian state television late Monday (July 7, 2025).
Israel reported that Iranian strikes killed 28 Israeli civilians and one off-duty soldier, and caused 3,238 hospitalized injuries.
Unapigana na mtu aliyefungwa kamba unajisifu una mpiga?Unawaza "the impossibilities"!
Siku moja niliwahi kumsikia aliye wahi kuwa bingwa wa uzito wa juu wa ngumi Duniani Mike Tyson waandishi wa habari walimuuliza hivi Yesu akirudi Duniani/yaani Israel unafikiri otakuwaje, Tayson alifikiria kidogo halafu akajibu waandishi wa habari kwamba Yesu akifanya makosa ya kuridi Duniani/Israel Wayahudi watamuuwa kwa mara nyingine TENA!!Tena wanadai Trump aliwaambia, acheni vita, mnashindwa!
Hawa waua Yesu KRISTO wanamatatizo sana sana!
Kula mfupa uuwezao ama sivyo usijaribu!
Haikutimiza,,ndo maana inaendelea kuipeleleza Iran kimya kimya,, kipindi hiki ikichokoza tena itajibiwa vikali sana na itajutia.Kwa hizo siku 12,Israel ilitimiza Malengo yake.
🤣🤣Mimi nilicheka zaidi Trump alipoonyeshwa video moja ya wayahudi huko akaona bora asitishe vita na kusema hawa wahuni sijawahi kutegemea kama wana mabomu ya kiasi hiki ingekua Israel anafanikiwa ilikua ni furaha kwa Trump na asingesitisha vita...wale Wayahudi wa Mbalizi hawatakuja kurudia vita na wale wasela wa Iran labda baadae sana..
Ilikuwa ni hasara kwa Irani maana makamanda wake wa jeshi walikuwa wanaliwa vichwa yeye anaenda kupiga maeneo ya makazi🤣🤣 Eti Israel ikaanza kulalamika Iran anashambulia makazi ya raia badala ya maeno ya kijeshi aise nilicheka sana .
Hayo makazi walikua wanakaa panya?Ilikuwa ni hasara kwa Irani maana makamanda wake wa jeshi walikuwa wanaliwa vichwa yeye anaenda kupiga maeneo ya makazi