Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

Kila mtu na bahati yake bhana.
 
Nini faida ya kuvaa joho na kufanya mahafali?
Lengo la thd yako ni kuona kua hao vijana wanafurahia kumaliza elimu yao huku kitaani kukiwa kugumu,

Kwani wakifurahia kwa kuvaa majoho na kufanya mahafali,wewe unapata hasara gani? Kwanini uteseke kwa maisha ya watu wengine?

Live the life u love,
Love the life u live.
 
The problem ni hii hatuna tena vichwa vinavyoitwa wasomi kama zamani! Kulikuwa na magenus aisee! Watu wabunifu, watu wenye maono! Sio wezi!
Sasa hivi hakuna tena wasomi labda tunao waliofuta ujinga tu kwa maana ya kujua kusoma na kuandika! ila kusema wanesoma hakuna! Huko serikalini kuna bunifu zipi mpya na wanaajiri wasomi kila kukicha!!? Umeshaona kwenye TV hata siku moja hakuna afisa anakagua mradi asiagize ocd kuwa kamata weka ndani!!? Kisa wameiba! Yaani ukweli nashauri serikali ianzishe kuajiri kwa kupima uwezo wa ubunifu na uaminifu! Otherwise wizi as usual! Hata wakiwa wanachagua vyuo utawasikia, “ Daahh yaaani hii course ukipata shavu serikalini yaani ndani ya mwaka kama hujajenga ghorofa utakuwa fala”
I dont trust anyone who said nimesoma nchi hii otherwise aniambie amefuta ujinga tu!
 
Waje tu waonje utamu wa moto wa tanuru la kitaa huku
Tena unemployment ilivyo worse sikuhizi , watalima lami
 
Hao wasomi wa zamani wamefanya nini Cha tofauti?
 
Wale waliobadilisha vyuo vyetu vya Diploma vilivyokuwa bora ndani na nje ya Nchi kwa kuvifanya vitoe madegree
walituharibia sana mfumo wa Elimu
Vile vyuo vilikuwa vinawapa vijana ujuzi wa kujiajiri na kuajirika kwa Urahisi. Kimsingi vilikuwa vinawaandaa vijana kufanya kazi ..... badala yake tuna andaliwa vijana wa kusimamia kazi na kazi zenyewe hazipo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…