Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Sawa Sawa afisa rasilimali watu tumekuelewa[emoji3]
Nimefurahi sana kuona hilo jina, Franco Luambo napenda sana nyimbo zake, na nyingi nikezikariri kikongomani kabisa (kilingala), japo mimi ni kijana.
 
Health centre
District Hospital
Zahanati huko ndio Hakuna call allowance
Lakini hizo stahiki zako mpaka uje uzipate si mpaka miezi mingi ipite kama wakina mama wanavyovunja vikoba?
 
Wapi wanalipa mishahara ya milioni saba, umekuwa RC au waziri?
Nimetolea mfano.
Ila point yangu ....
Umesoma BBA wewe na mwenzako ....
Wewe ukianza Kazi Halmashauri (sema Afisa Biashara) ni TGS D = 745,000
Mwenzako akianza Kazi BRELA (sema Licensing Officer) ni 1.8 - 1.6Mil
Hebu cheki huo utofauti.

Hapo huyo wa BRELA ana takehome mara mbili kama si tatu ya mwenzake.

Na mmesoma chuo kimoja na GPA mnafanana.

Si uzwazwa wa Ki-TAMISEMI huuu.

#YNWA
 
Njoo nyie wa mjini muwekeze.
Kwani wewe hizo fursa unazozitaja huzitaki?

Kuondoka huku LAZIMA NIONDOKE.

#YNWA
 
Yaani hata wakuu wa idara, mwenyekiti wa halmashauri (diwani), mkurugenzi, afisa utumishi, nao hawana hela ya supu mpaka mwisho wa mwezi?
Wewe naye unadata na neno mkuu wa idara, au diwani au afisa utumishi ngoja umalize shjule utajua
 
Sasa kwanini uliomba kazi Tamisemi, si ungeomba kwenye hayo mataasisi.
 
Kwahiyo wakuu wa idara wana njaa njaa kama wewe? Kuna haja gani ya kupewa ukuu wa idara?

Na aliyekwambia aijamaliza shule ni nani?
Wewe naye unadata na neno mkuu wa idara, au diwani au afisa utumishi ngoja umalize shjule utajua
 
Halmashauri sio kabisa.. alafu wengi wajuaji sana nakutana nao kwenye Vikao nabaki kuwaangalia tu.

Alafu hata kutumia computer hawajui wengi wao, sasa kimbembe ukutane na IT wa halmashauri.. na kiflash chake kakizungushia rubber band.
 
Halmashauri sio kabisa.. alafu wengi wajuaji sana nakutana nao kwenye Vikao nabaki kuwaangalia tu.

Alafu hata kutumia computer hawajui wengi wao, sasa kimbembe ukutane na IT wa halmashauri.. na kiflash chake kakizungushia rubber band.

[emoji28][emoji28],umenikumbusha kuna jamaa alikua mwalimu akaenda kusome IT alipo maliza masomo akarudi akapewa kitengo cha IT yani ni changamoto tu[emoji28]
 
Lakini kiukweli nimeupenda sana huu uzi.
Haya ndo mambo ya kujadili, ili vijana wanaojitafuta wapange maisha yao mapema ktk ajira au kujiajiri.

Na siyo kila siku kujadili mbususu, makalio makubwa, nyeto au kula tunda kikasihara,
 
Usijilinganishe ndugu, itakuletea msongo wa mawazo na kujikuta unapoteza muda kwenye mambo ambayo yanapunguzia umakini kwenye maisha yako.
Unajilinganisha ili ujue kama upo sehemu sahihi.
Ukiona upo ngazi ya chini (baada ya mlinganisho) basi "solution" ni kuhama kwenda huko juu

#YNWA
 

Unajilinganisha ili ujue kama upo sehemu sahihi au lah..!!
Ukiona upo ngazi ya chini (baada ya mlinganisho) basi "solution" ni kuhama kwenda huko juu.

Aliye juu MFATE HUKOHUKO.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…