Nimefurahi sana kuona hilo jina, Franco Luambo napenda sana nyimbo zake, na nyingi nikezikariri kikongomani kabisa (kilingala), japo mimi ni kijana.Sawa Sawa afisa rasilimali watu tumekuelewa[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi sana kuona hilo jina, Franco Luambo napenda sana nyimbo zake, na nyingi nikezikariri kikongomani kabisa (kilingala), japo mimi ni kijana.Sawa Sawa afisa rasilimali watu tumekuelewa[emoji3]
Lakini hizo stahiki zako mpaka uje uzipate si mpaka miezi mingi ipite kama wakina mama wanavyovunja vikoba?Health centre
District Hospital
Zahanati huko ndio Hakuna call allowance
Nimetolea mfano.Wapi wanalipa mishahara ya milioni saba, umekuwa RC au waziri?
Kama yapi?UDOM inashika namba moja kwenye mambo mengi kitaifa, wacha kutukana chuo.
Sijui wizarani.HR wa wizara fulani analipwa bei gani?
WatotoSasa watoto utawapataje au ukiwapata kihuni huni, watalelewa mazingira gani?
Upwiru utaupunguzaje?
wa
Sipo Tanganyika.Pole sana mzee wa Tanganyika DC [emoji28][emoji28]. Fanya kazi uwasaidie wananchi na serikali kuwapatia huduma wananchi.
Njoo nyie wa mjini muwekeze.Mtoa mada hukutakiwa kumwambia mkurugenzi kuwa 2025 utaondoka, coz kuna watu wana roho mbaya, wataweza kukuwekea kauzibe.
Pia huko porini mbona gharama za maisha ni ndogo, mshahara unauona kabisa. Au wekeza kwenye kilimo, ufugaji au biashara, utapata pesa kuliko walio ktk taasisi.
Wewe naye unadata na neno mkuu wa idara, au diwani au afisa utumishi ngoja umalize shjule utajuaYaani hata wakuu wa idara, mwenyekiti wa halmashauri (diwani), mkurugenzi, afisa utumishi, nao hawana hela ya supu mpaka mwisho wa mwezi?
Nimetolea mfano.
Ila point yangu ....
Umesoma BBA wewe na mwenzako ....
Wewe ukianza Kazi Halmashauri (sema Afisa Biashara) ni TGS D = 745,000
Mwenzako akianza Kazi BRELA (sema Licensing Officer) ni 1.8 - 1.6Mil
Hebu cheki huo utofauti.
Hapo huyo wa BRELA ana takehome mara mbili kama si tatu ya mwenzake.
Na mmesoma chuo kimoja na GPA mnafanana.
Si uzwazwa wa Ki-TAMISEMI huuu.
#YNs
Wewe naye unadata na neno mkuu wa idara, au diwani au afisa utumishi ngoja umalize shjule utajua
Sasa kwanini uliomba kazi Tamisemi, si ungeomba kwenye hayo mataasisi.
Halmashauri sio kabisa.. alafu wengi wajuaji sana nakutana nao kwenye Vikao nabaki kuwaangalia tu.
Alafu hata kutumia computer hawajui wengi wao, sasa kimbembe ukutane na IT wa halmashauri.. na kiflash chake kakizungushia rubber band.
Haya ndo mambo ya kujadili, ili vijana wanaojitafuta wapange maisha yao mapema ktk ajira au kujiajiri.Lakini kiukweli nimeupenda sana huu uzi.
Unajilinganisha ili ujue kama upo sehemu sahihi.Usijilinganishe ndugu, itakuletea msongo wa mawazo na kujikuta unapoteza muda kwenye mambo ambayo yanapunguzia umakini kwenye maisha yako.
Sasa bro wapi ulale inategemea na wewe na pesa Yako,rate ya posho Kwa Serikali ni Moja uwe Halmashauri au Taasisi Kwa sababu ndani ya Jiji utalipwa 150,000-220,000 kutegemea na cheo au ngazi ya salary.
Mwisho kila mtu ana maisha yake hapa Duniani sio sawa kujilinganisha na wengine
Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana
Salaam ndugu Wana JF, Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF. Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii. Twende kwenye hoja.. Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara...www.jamiiforums.com
Na mimi nakazia “pombe hizo”
Bandiko lako ni ukweli mtupu kuna waliochoka na walionona na wote ni watumishi