wapi Mungu kaamrisha uoe bikra?Mimi nakwambia uhalisia Kama wewe unahisi umri ndio ukubwa au elewa kaa na umri wako
Wengi sanaa wakiwa mabinti wanaheshimu sanaa nani? Aliyembikiri nakwambia kitu ambacho kipo wewe tetea kitu kilicho ndani yako
Wanakuwa wanawafata popote waliowatoa bikra wakakumbushie hiyo na ni kiroho kabsa sawa wewe
Wakianza kuzeeka ndio wanaanza kupotezea so bikra ni kimwili na kiroho waulize waliooa bikra watakuelekeza kitu
Ndio maana Mungu kaamrisha tusishiriki tendo mpaka tufunge ndoa, umeshindwa hata kumuelewa Mungu, mtu mgumu sanaa wewe
wapi Mungu kaamrisha uoe bikra?
Walioanguka kutoka juu ya mti nao wakoment wapi
Watabisha lakini ukweli mwanaume kuoa mwanamke breki pumbu ni ujinga mkubwa sana
Acha ujinga
Kijana anayetaka mwanamke bikra afahamu kuwa mwanamke aliyemkuta bikra
1. Alilishwa
2.Akavishwa
3. Akatunzwa
4. Akapewa malazi
5. Akapewa matibabu
Akatulia, akajitunza.
Sasa akishakuwa mkewe asidhani bikra itaprovide hayo yote na mwanamke kutulia.
akikujib nitagNitajie mataifa 20 ambayo huolewi bila bikra na niambie hio bikra imewaleteaje maendeleo
Mahari inahusiana nini?Mahali ya msichana bikra haifanani na mwanamke mdangaji
Ni kweli ni vyema kuoa bikra, na hayo makabila hata wanaume nao mpaka wanafikia kuoa kuna mambo wanakua wamekamilisha kimila.
Sasa wewe upo kwenye hilo kabila?? Bila shaka hulijui ila umesikia tu kua lipo hilo kabila!!
Kuna mdau hapo kasema ni kheri uoe mke mwenye tabia njema tu, hata mimi kwangu bikra sio kigezo kikuu.
Mahari inahusiana nini?
Okay
Mie sio bikira nanina mpenzi so sikuelewiMbonah kinyonge
akikujib nitag
Mie sio bikira nanina mpenzi so sikuelewi
View attachment 2704779
Usomege maandiko Kama ni mkristo.