Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Mimi nakwambia uhalisia Kama wewe unahisi umri ndio ukubwa au elewa kaa na umri wako

Wengi sanaa wakiwa mabinti wanaheshimu sanaa nani? Aliyembikiri nakwambia kitu ambacho kipo wewe tetea kitu kilicho ndani yako

Wanakuwa wanawafata popote waliowatoa bikra wakakumbushie hiyo na ni kiroho kabsa sawa wewe

Wakianza kuzeeka ndio wanaanza kupotezea so bikra ni kimwili na kiroho waulize waliooa bikra watakuelekeza kitu

Ndio maana Mungu kaamrisha tusishiriki tendo mpaka tufunge ndoa, umeshindwa hata kumuelewa Mungu, mtu mgumu sanaa wewe
wapi Mungu kaamrisha uoe bikra?
 
Kijana anayetaka mwanamke bikra afahamu kuwa mwanamke aliyemkuta bikra

1. Alilishwa
2.Akavishwa
3. Akatunzwa
4. Akapewa malazi
5. Akapewa matibabu

Akatulia, akajitunza.

Sasa akishakuwa mkewe asidhani bikra itaprovide hayo yote na mwanamke kutulia.

Mahali ya msichana bikra haifanani na mwanamke mdangaji
 
Ni kweli ni vyema kuoa bikra, na hayo makabila hata wanaume nao mpaka wanafikia kuoa kuna mambo wanakua wamekamilisha kimila.
Sasa wewe upo kwenye hilo kabila?? Bila shaka hulijui ila umesikia tu kua lipo hilo kabila!!

Kuna mdau hapo kasema ni kheri uoe mke mwenye tabia njema tu, hata mimi kwangu bikra sio kigezo kikuu.

Sijawahi kuwa mzinzi usiwe na hofu na mm
 
wapi Mungu kaamrisha uoe bikra?

IMG_2557.jpg

Usomege maandiko Kama ni mkristo.
 
Back
Top Bottom